Je, ukiwa unatumia dozi ya PEP unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mwenye maambukizi?

Je, ukiwa unatumia dozi ya PEP unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mwenye maambukizi?

Habari za muda huu

Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.

Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.

Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Watu wengine ubishi wa kijinga! Wewe unauguza bado unakitembeza
 
Habari za muda huu

Naomba kujuzwa,kufahamishwa na kueleweshwa.

Je, ukiwa unatumia dozi ya pep unaweza kupata maambukizi ikiwa utakutana na mtu mwenye maambukizi..sina uhakika kama ana umeme ila anavyochenga kupima na afya yake ilivyo nakosa amani.

Naombeni msaada wenu katika hili wajuvi wa mambo naamini humu kuna watu wana profession na uzoefu katka nyanja tofauti.
Tusidanganyike! ukikutana kimwili na mwenye HIV utapata HIV fullstop.hiyo ni rule of thumb.Hayo mengjne ni probability ambayo inaweza true on your side or not.So tuepuke kujiweka katika risk ya kusikiliza ushauri kutoka kwa Madaktari pori.Tuzungumzie kuepuka kujamiana kusiko rasmi ikiwa na kupima maambukizi ya HIV kabla ya kuoana na baada ya kuingia kwemye ndoa tuwe waaminifu katika ndoa zetu.
 
Sina utalamu wa maswala ya kiafya kuweza kufahamu hilo ila ningependa tu kukushauri upunguze kaka. Yani licha ya kua kwenye dozi ya PEP ila moto bado ule ule
 
Sina cha kujifunza kwenye Google mkuu..
Nimesoma hicho kitu kwa muda mrefu na nimefanya study nyingi kuhusu hiyo kitu..

Na kuhusu drugs Resistance na Drugs failure ni Mada kubwa sana haiwezi kutokea kwa mara moja au kwa wiki moja..

Kaa utulie mkuu kama una swali unaweza kuuliza
Siamini kuna cha kukuuliza bali jifunze zaidi
 
Na ukimaliza dozi hata ukienda hospital eti umepata contact tena hakupi coz hizo dawa zina side effect hawazitoi kama njugu sokoni

Note: Ukimaliza dozi hata ukapata contact tena na mtu mwenye ukimwi within a month hairuhusiwi kupewa dawa tena hadi ipite miezi mitatu
Unaambiwa hizo dawa zinamadhara kuliko hata huo ukimwi wenyewe endapo utakumbana na madhara yake
yapi hayo mkuu..nawaza kukatisha dozi coz mtu mwenyewe nlichapa goli moja..nliingza mara 2 nkatoa,nkavaa kondom nkapga kdg,hisia zikakata hadi mashine ikawa inaelekea kulala nkavua dk mbili tatu nkakitupa..
binti alkua mgeni kitaa kuulzia naambiwa na mshkaji wa mtu wake na demu[rafk ake na mtu wake yule manzi]kuwa msela kawaka na tangu mchana wamegombana hvyo almfata town kakuta ana msela mwingne katoka kumegwa..wasi wasi wangu ikawa pengne sabu ametumika sana mchubuko lazma japo nlpofanya nae sidhani kama kultokea mchubuko.
 
Siamini kuna cha kukuuliza bali jifunze zaidi
😅😅😅🤣🤣🤣
Haya mkuu Asante sana!

Naendelea Kujifunza Mkuu kupitia kwako na wengine!

Ila nikushauri Kasome kuhusu HIV, na soma pia kuhusu ART, Soma kuhusu Hiv Drugs Resistant ambazo zinapelekea kwenye Failure n.k.

Kiukweli Kijana una vingi vya kujifunza sana..
Nasisitiza hilo!

Ila nahisi mimi Nina vingi zaidi vya kujifunza kwako😀😀
karibu Sana!
 
Sina utalamu wa maswala ya kiafya kuweza kufahamu hilo ila ningependa tu kukushauri upunguze kaka. Yani licha ya kua kwenye dozi ya PEP ila moto bado ule ule
sawa saw kaka,sema skua nmepanga kumla coz kabla skumdokeza,nlmwomba aje gheto nlijarbu kumuapproach akankatalia mbaya hata kuguswa hataka..nkakausha.
sijui iltokeaje na ujasiri nilitoa wapi nlijikuta nshamshika kiuno alilalamika dk mbili t bdae kmya nkatoa kfuniko kugusa nyang'anyang'a nkateleza.
 
😅😅😅🤣🤣🤣
Haya mkuu Asante sana!

Naendelea Kujifunza Mkuu kupitia kwako na wengine!

Ila nikushauri Kasome kuhusu HIV, na soma pia kuhusu ART, Soma kuhusu Hiv Drugs Resistant ambazo zinapelekea kwenye Failure n.k.

Kiukweli Kijana una vingi vya kujifunza sana..
Nasisitiza hilo!

Ila nahisi mimi Nina vingi zaidi 😀😀
karibu Sana!
Bado upo dogo! Una ego ambayo haiwezi ikakufanya mtabibu bora. Tulia uelimike.

Kuthibitisha ego yako ni kama hii comment yako

Wakati huu una miaka 6, mimi nilikuwa form six. Na hujui kuwa hujui
 
Bado upo dogo! Una ego ambayo haiwezi ikakufanya mtabibu bora. Tulia uelimike.

Kuthibitisha ego yako ni kama hii comment yako

Wakati huu una miaka 6, mimi nilikuwa form six. Na hujui kuwa hujui
SIjazungumza kuhusu Umri mahali popote!

kuna watu ambao ni surbonate wangu na wana umri mkubwa kuliko mimi na kuna watu ambao ni Wakubwa wangu kazini na wana Umri Mdogo kuliko mimi..

So Accademic and Proffesionalism haichagizwi na umri mkuu!..

Kingine nikufundishe kitu ukiniona kwenye Bandiko tofauti huwa nachukua Sura na maoni tofauti inategemea na Discusion ya Bandiko..

Na sio lazima tufanane hoja,Unaweza ukaweka hoja yako Bila Hata kufanya dhihaka kwa mwingine..

Sikatai na wala sijapinga wewe kuwa na umri wa miaka 70+ au zaidi..

Maana watu wengi waliokuwa secondary au Form six Mwaka 1978, Kwa sasa Ni wastaafu na Ni wazee sana..

Na kama upo bhasi nafurahi sana kuiona Hazina ya wakati huo Ikimea na kujaa busara nyingi..

Ila kwa mimi..niko Happy na umri wangu Ndo umri ambao unanitambulisha Nilipokuja Duniani.

Na kama nilivyosema Mkuu..

Nahisi Mimi Nina Vingi sana vya kujifunza kutoka kwako na kutoka kwa wengine Na nina safari ndefu sana mkuu.
 
Msomi ni yule anayejifunza kila wakati. Jitahidi kuwa msomi kila wakat. Achana na ego ya kishamba
 
Msomi ni yule anayejifunza kila wakati. Jitahidi kuwa msomi kila wakat. Achana na ego ya kishamba
Soma Paragraph ya Mwishoni kabisa ya kila Comment yangu kwako..
Na shukrani sana kunikumbusha hivyo..
Anyway I am Very Humble,So karibu!
 
Nashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..
Sasa unajijua unatumia pep na unaujasiri wa kutafuta magonjwa mengine dah kuna watu mmevurugwa kwa maana apo riski sio hiv tu bali kuna homa ya ini,gono,syphilis,hpv etc
 
Back
Top Bottom