ngakotecture
JF-Expert Member
- Dec 30, 2014
- 2,569
- 2,847
Ivi mkuu mtu akitumia pep kwa siku 28 na akamaliza inachukua muda gani effects za dawa mwilini kuisha au nguvu yq dawa huisha baada yq muda gani?Huwezi kupata hadi zitakopita wiki mbili baada ya kumaliza dozi coz dawa ya pep inakaa muda mrefu kwenye damu
Hivyo hata baadaa ya kumaliza dozi inakuwa sumu ya dawa ipo kwenye damu
Unatumia PEP bado una ujasiri wa kwenda pekupeku?Nashukur mkuu,hapa nilikuwa nawaza nirudi hospt pengine ntaongezewa dozi na vile znanipelekesha njaa muda wote,ndoto za ajabu ajabu kuota napaa hadi nimeshalizoea anga,uchovu kam nina homa ni balaa tupu..
mbona umekua mkali mkuuUmejichanganya katikati ya dozi? Pole sana ila uache umalaya.
Huwezi kupata ila hakikisha umemaliza pep
Inabidi ujue kujicontrol juu ya haya mambo mzee kabla hujakanyaga mwiba ukaishia kuishi maisha ya majutosawa saw kaka,sema skua nmepanga kumla coz kabla skumdokeza,nlmwomba aje gheto nlijarbu kumuapproach akankatalia mbaya hata kuguswa hataka..nkakausha.
sijui iltokeaje na ujasiri nilitoa wapi nlijikuta nshamshika kiuno alilalamika dk mbili t bdae kmya nkatoa kfuniko kugusa nyang'anyang'a nkateleza.
Hudumu kwa wiki moja.Ivi mkuu mtu akitumia pep kwa siku 28 na akamaliza inachukua muda gani effects za dawa mwilini kuisha au nguvu yq dawa huisha baada yq muda gani?
Kweli kabisa..
Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..
Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)
Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)DR samahani vidonge vilivyoandikwa LA75 utumika kama PEP mkuu?
Doctor ulipokatisha PEP kwa siku 20 tu ziliweza kukisaidia kukwepa maambukiz?Kweli kabisa..
Na wana Raha sana Hawa wanaopewa PEP za Sahizi za TLD..
Nakumbuka Niliwahi kunywa PEP za zamani zile za TLE (nilipata Exposure nilikuwa nina draw damu kwa Mgonjwa wa HIV kwa ajili ya vipimo zaidi bahati mbaya akarusha mkono ikanichoma ile sindano)
Nilijitahidi kunywa PEP (Kipindi hicho TLE) Na nashukuru kufika siku 20 nikaacha..
Zinasaidia Ila Huruhusiwi Kukatisha kama mimi 😂Doctor ulipokatisha doz ya PEP kwa siku 20 tu
Doctor ulipokatisha PEP kwa siku 20 tu ziliweza kukisaidia kukwepa maambukiz?
hivi vinatumika kimoja kwa siku. imekuwaje wewe unavyo vi3?LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)
Ni vigumu Kukuta Lamivudine Ikisimama Peke yake..
Hiyo Ni vigumu sanaaaa na Sidhani kama imewahi kutokea..
But Mara nyingi Lamivudine (Kwa sasa Hivi) inachanganywa kwenye Dawa kama TLE na TLD..
Kwa sasa TLE ilitolewa Sokoni nadhani tangu mwaka 2019..
Ninavyoona..
Dawa unayoizungumzia Ni TLD maana Hiyo ndo imekuwa Embossed with LA75..
Na kukujibu Ni Ndiyo Inaweza kutumika kama PEP..na mara Nyingi ndio Hutumika kwetu Tanzania Unless Kuwe na Contraindication..
View attachment 2973358
View attachment 2973359
ivi vinatumika kimoja kwa siku. imekuwaje wewe unavyo vi3?LA75 mara Nyingi Ni label name ya Lamivudine (3TC)
Ni vigumu Kukuta Lamivudine Ikisimama Peke yake..
Hiyo Ni vigumu sanaaaa na Sidhani kama imewahi kutokea..
But Mara nyingi Lamivudine (Kwa sasa Hivi) inachanganywa kwenye Dawa kama TLE na TLD..
Kwa sasa TLE ilitolewa Sokoni nadhani tangu mwaka 2019..
Ninavyoona..
Dawa unayoizungumzia Ni TLD maana Hiyo ndo imekuwa Embossed with LA75..
Na kukujibu Ni Ndiyo Inaweza kutumika kama PEP..na mara Nyingi ndio Hutumika kwetu Tanzania Unless Kuwe na Contraindication..
View attachment 2973358
View attachment 2973359
Mkuu sijakuelewa!hivi vinatumika kimoja kwa siku. imekuwaje wewe unavyo vi3?
Mkuu sijakuelewa!
Unamaanisha Nini?