Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Nani ana miaka mingapi huyo Putin kaanza hizi mambo za harakati na Afrika toka enzi za kina Che Guevara na Gadaffi hawa wakina Thabo Mbeki wamesoma Urusi kwa fedha ya Gadaffi...gazeti la Mfanyakazi kabla ya kuvunjika Soviet Union katikati palikua yanaandikwa haya mambo...kupitia hilo gazeti nikaamua kutafuta kitabu cha Soviet war kuanzia mwaka 1874 enzi za kina Soviet Empire...Ana miaka mingapi?wengine ni mashabiki tu.Na msisahau vita bado inaendelea.
Russia haipakani na USA?, mbona unakuwa muongo?Russia will WIN this war (Nimekaa pale). Na hata ikitokea kama usemavo WW3 endapo badae NATO wataingiza majeshi rasmi ukraine means itakua vita vya nyuklia🔥 ni vita ambayo EU hawawezi kukubali itokee kbs kwenye bara lao maana wao ndio wanapakana na Russia na sio USA, Note this📌
Kafundishe historia shuleni, uliza maswali ya kiutu uzima yanayoendana na muda.haiwezekani watu zaidi ya wanne wakugombee kwa swali lako jepesi.Japo wengi humu tu mashabiki.Nani ana miaka mingapi huyo Putin kaanza hizi mambo za harakati na Afrika toka enzi za kina Che Guevara na Gadaffi hawa wakina Thabo Mbeki wamesoma Urusi kwa fedha ya Gadaffi...gazeti la Mfanyakazi kabla ya kuvunjika Soviet Union katikati palikua yanaandikwa haya mambo...kupitia hilo gazeti nikaamua kutafuta kitabu cha Soviet war kuanzia mwaka 1874 enzi za kina Soviet Empire...
Unaongea kama huna akili vile...tangu lini kuku wa kienyeji akapewa madawa kama yote na kuku wa brolier hapewi chochote??Ndoto ya mahaba!
russia ni broiler kuku wa nyama!
Ukreine ni kuku wa kienyeji!
warusi wa buza hawaPutin hiivita atashinda. Putin naye hataki hii vita ìishe haraka nayè anataka kuachosha west. Mpaka sasa hivi west wametuma silaha nyingi sana ila matokeo ni madogo sana na putin anazidi kuatwanga tu . Urusi siyo kwamba hana silaha za kisasa za kuimaliza vita nooo.anazo nyingi tu na ndiyo maana anajifanya dhaifu. Unajua wengi hawafahamu kwamba urusi alifanýa maandalizi ya muda mrefu sana kuhusu vita hii alishajipanga kila idara .alijua kama vikwazo vya pesa atawekewa na vinginevyo na ndiyo maana havijamwumìza kabisa. Wala hababaiki zaidi west ndiyo wanapata shida. Na majuzi tumesikia makombora ya hypasonic yaanze kutumika rasmi tusubiri . Yana uwezo wa kubeba vichwa nuklia ya kilo 500. Yana spidi kuliko sauti. Kwamaana hiyo ana uwezo wakupiga inch tano ndani ya dk 5 .ni inch ngapi wanayo hayo makombora ndani ya Nato?
Hata sikuelewi unaongelea nini faza...una stress nini unataka sehemu ya kupunguza tafuta Tura mwingine bhana..Kafundishe historia shuleni, uliza maswali ya kiutu uzima yanayoendana na muda.haiwezekani watu zaidi ya wanne wakugombee kwa swali lako jepesi.Japo wengi humu tu mashabiki.
ndio umeandika nini??[emoji56]Unaongea kama huna akili vile...tangu lini kuku wa kienyeji akapewa madawa kama yote na kuku wa brolier hapewi chochote??
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Mrusi pia kapata mafanikio makubwa ambayo hayawezi kuwekwa wazi na vyombo vya propaganda vya kimagharibi...........Mrusi hayupo peke yake......hii ngoma inavyozidi kukua yatakuja kujulikana mengine......ukraine ni picha ndogo tu ya tifu linalokuja mbeleniMkuu naona unapingana na takwimu na mafanikio anayoyapata Ukraine kila baada ya kupokea msaada wa kifurushi cha aina flani kinachowawezesha wanajeshi wa Ukraine waadvance kwenye uwanja wa vita.
Kifushi hiki sasa kitawawezesha wanajeshi wa Ukraine kuingia mtaa kwa mtaa wakifanya mashambukizi ya face to face na wanajeshi wa Urusi and probably Urusi hana siraha za kukabiliana na bradleys IFV's
Ngoja tuone maana lengo la kuiprolong vita naona linafanikiwa sana.
Ni marehemu mtarajiwa Muda utasemap!Yaani putin afe, basi dunia haina mbabe.Na kwa kukamilisha basi wote humu jamii forum hatuna akili.TUTAKUWA HATUWAJUI WAZUNGU NA HATUJUI LOLOTE DUNIANI.
PoaNi marehemu mtarajiwa Muda utasemap!
Sawa ngoja tusubiri tuone mwisho wakeKumbe hujui kinatafutwa kichwa cha dingi
Umezungumza ukweli tupu wengi humu hawafwatilii huu mtanange .wengi wameijua urusi baada ya kuivamia ukrainShida ya watu wanajibu kishabiki na kutoa hoja zao kishabiki sana hadi maana ya Uzi ulioanzishwa unakosa maana toa hoja bila kutukana ichambue hoja yako.
Kifurushi cha saivi kimetolewa kuendana na mazingira ya vita inavyokwendaa naamini Ukraine wanaandaa counter offensive kubwa sana Ila matarajio sidhan kama yatakuwa mazurii kumbuka saivi Urusi naye kaanzisha mashambulizi mapyaa hayupo tena kulindaa tu maeneo aliyochukua ila anataka kuichukua maeneo mapya kushambulia kwa Urusi kutaipa ukrein wakati mgumu sana kurudisha maeneo yake na kutashuudiwa umwagaji mkubwa sana wa damu
Urusi ili kuzidi kushililia maeneo aliyopata hana budi kuongeza mashambulizi kupata maeneo mapya bila ivyoo hii vita atoboii hadi mwezi wa6 atanyoosha mikono juu kumsubiri mwenzako anayekuja kushambulia ni kuongeza vifo na majeraha kwa askari wko iyoo itawavunja nguvu wale wengine na kuanza kuachia maeneo wanayoyalindaa.
Matarajio yangu hii vita bado ina mwaka mzima mbele wa kuendelea labdaa 2024 katikati Ila kwa mwaka huu sioni kama kuna ata mmoja atanyoosha mikono na kukubali kushindwaa, Russia kashaaribu hawezi kurudi nyuma tna ata Leo hii Putin akinyofolewa pale bado vita itaendelea yote ni kulindaa hadhi ya taifa lao.
Wengi wanaiona Russia kama haina nguvu kiuchumi wa kukabiliana na hii vita sijui wanatumia akili gani kufikiria wengi tumeona baada ya vikwazoo kwa urisi ni hali gani nchi zote ulimwenguni zilipitia kiuchumi ila bdo watu wameshupaza shingo ila acha tuzidi kujionea
Ukraine Hali ni mbaya sanaMarekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine.
Tusichukulie sentensi hili kirahisi maana wakati huu tunaweza kuzungumzia kuanzishwa kwa mifumo ya kubadilisha mchezo(game-changing systems).
View attachment 2472547
- magari 50 ya mapigano ya Bradley yaliyotengenezwa Marekani (IFV),
- IFV 40 za Ujerumani “Marder”,
- na idadi isiyojulikana ya AMX-10 RC ya Ufaransa.
Pichani ni German Armored Infantry (Panzergrenadiere) wakiwa na gari la kivita la kijeshi la "Marder".
Na hii labda ni mwanzo tu, kuna mengi zaidi yajayo. Mara tu silaha hizi zitakapokuwa kwenye uwanja wa vita, Vikosi vya Wanajeshi wa Ukraine vitaweza kufanya kile kinachoitwa operesheni za vita vya pamoja vya silaha (combined arms warfare operations), kwa mara ya kwanza kabisa:
Mifumo yote kuu ya silaha unayohitaji kwa shambulio la kivita lenye ufanisi sasa inapatikana kwao.
Bila Bradleys na Marders, askari wa miguu wa Ukraine hawakuweza kufuata mizinga yao. Magari yao ni ama yalikuwa na ngao pamoja na silaha nyepesi sana kutumiwa kwenye uwanja wa vita moto (kwa mfano, M113) au hawakuweza kuendana na mizinga katika maeneo yenye ardhi nzito (Boxers, na magari mengine yote ya magurudumu).
- Mizinga (T 72 nk. pamoja na AMX 10)
- IFVs (Marders na Bradleys)
- Mifumo ya Kupambana na Anga (Gepards ya Ujerumani)
- Artillery (Panzerhaubitze 2000 na wengine)
Sasa kila gari ambalo Jeshi la Ukraine linahitaji kufanya operesheni ya kivita ya pamoja "kwa ufanisi mkubwa" lina ngao na silaha nzito . Hii ina maana wanaweza kufanya kazi pamoja.
Tunaweza kutarajia operesheni kuu za mapigano zinazohusisha magari haya mwishoni mwa Machi au Aprili. Kulingana na kile tumeona hadi sasa kwenye uwanja wa vita, tunaweza kutarajia opresheni hizi kuwa na mafanikio makubwa.
Na hakuna chochote ambacho Warusi wanaweza kufanya juu yake. Hawana njia za kukabiliana na aina hii ya mashambulizi. Wanachoweza kufanya ni kutumaini kwamba Wamarekani na Wajerumani hawataamua kutoa mizinga yao ya kisasa ya Vita Kuu (Abrams na Leopard 2) kwa Ukraine. Hili likitokea, nisingependa kuwa mmoja wa wanajeshi wa urusi waliopo Donetsk au Crimea.
Kujibu swali: Ukraine haipotezi vita hii. Ulimwengu uko upande wao na kwa pamoja, watashinda.
NB: kama urusi ingeshinda vita hii, ungekuwa mwanzo wa WW III, Anacopy exactly alichofanya Adolf Hitler.
Ukitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili,Marekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine.

Hivi wameipa mara ngapi silaha Ila Urusi 🇷🇺 haijashindwa?Marekani, Ufaransa na Ujerumani ziliamua kutuma kifurushi kingine cha silaha nchini Ukraine.

Bwana Utam likes this.Bro unaichukulia Russia kilaisi kirahisi namna hiyo?? Unafikili Russia yupo peke yake ktk hiyo vita? Ukraine itakuwa kichinjio cha jeshi la NATO.
Umeandika kiushabiki Sana hamna point za maanaUkitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili,
1) Kwa urusi;
haikuichukulia kama vita kamili mpaka kama wiki 2 zilizopita, ndio wamei tafsiri kama vita. Urusi inahitaji eneo zaidi la kilimo na kupunguza/kutawala urahisi was ukrain kutumia bahari. Hii ni kwa sababu urusi inajilinda na Nato (ambayo msingi wake ni kujilinda dhidi ya Russia( ilikuwa USSR wakati huo).ukumbuke pia pamoja na ukubwa wa ukrain hawakuwa wakijiandaa kivita dhidi ya yeyote,lengo lao halikuwa kuingia Nato Bali kuingia EU (Kwa biashara ya mazao ya kilimo). Tishio hili linafungua njia mbili;
a) nchi zote 13 zilizo tokana na mvunjiko wa USSR zinataka kuwa member wa Nato ili kujilinda na Russia ya Leo,
b) kunaipa Nato mnjia rahisi ya kumshusha nguvu Russia pamoja na kwamba ni nuclear state,atakuwa kama Iran na north Korea ( sio Tena super power). Ndio maana halisi ya vikwazo alivyo wekewa.china inaweza kuwa balancing state hapa Kwa kutumia 100% ya mazao ya nishati kuisupport Russia isianguke kiuchimi ndio maana nao wanachokozwa wajichanganye kwenye hili jambo,Sasa hivi wanajenga bomba la mafuta mbadala wa Nord stream 2
2) Kwa ukrain
Hii ni vita kamili ya daudi na Goliath,na daudi ameuthibitishia ulimwengu Russia ni chui wa makaratasi, Kwa kuangalia uwezo (Military hardware ) na (battle philosophy).
Nini kinafanyika;
I) Mauzo ya vifaa vya kivita vya urusi yataanguka, mauzo ya vifaa vya kivita vya mataifa ya ulaya na marekani yatapanda,
ii) adhma ya kujiunga na Eu itaongezwa na kuwa ya kujiunga na nato pia,na kusogeza sio TU nuclear deterrent hardware mlangoni pa Russia bali hata missile shields mpakani na Russia karibu Kila upande, muda simrefu kalingrad itaanza kujiondoa Russia ilikusiwe na sea Access.
Wakimalizana na bwana Russia watamfuata bwana xi kumuamzishia chokochoko!,kelele za N.Korea na Iran zitaishia hapo.
Huu ndio mchezo unaoendelea.
Ukiamua kuangalia mchezo mzima kama vita kamili:
HIMARS System (game changer) hazifiki 100, lakini pia hazija achiwa pamoja na mabome ya aina zote,Wana maximum range ya 80km, na type Moja TU ya mabomu siyo array yote ya mabomu, askari wanaoenda battle front wa Russia ni fairly fresh recruits,hii maana yake Russia anabaki kutumia long range artillery kupata battle ground shield against Ukraine tatizo hapa ni accuracy Kwa Russian artillery. ,Ukraine watasogea karibu sana na askari wa Russia, hivyo Russia watalazimika kupoteza askari wengi sana,kinachofanywa Sasa ni kuwafanya askari wa urusi wapate battle fatigue,Russia hawezi Tena kumobilize 300k soldiers most likely Belarusian army will step in escalation will result in ww3.hii ni last option Kwa mtazamo wangu!
Na nyie nanyi kwa kurukia nyuzi za watu? Wenzenu wamefungua nyuzi za kujiliwaza nyie mnakuja kuwawekea barrier, mnataka waende wapi?Mkuu naona unapingana na takwimu na mafanikio anayoyapata Ukraine kila baada ya kupokea msaada wa kifurushi cha aina flani kinachowawezesha wanajeshi wa Ukraine waadvance kwenye uwanja wa vita.