Ukitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili,
1) Kwa urusi;
haikuichukulia kama vita kamili mpaka kama wiki 2 zilizopita, ndio wamei tafsiri kama vita. Urusi inahitaji eneo zaidi la kilimo na kupunguza/kutawala urahisi was ukrain kutumia bahari. Hii ni kwa sababu urusi inajilinda na Nato (ambayo msingi wake ni kujilinda dhidi ya Russia( ilikuwa USSR wakati huo).ukumbuke pia pamoja na ukubwa wa ukrain hawakuwa wakijiandaa kivita dhidi ya yeyote,lengo lao halikuwa kuingia Nato Bali kuingia EU (Kwa biashara ya mazao ya kilimo). Tishio hili linafungua njia mbili;
a) nchi zote 13 zilizo tokana na mvunjiko wa USSR zinataka kuwa member wa Nato ili kujilinda na Russia ya Leo,
b) kunaipa Nato mnjia rahisi ya kumshusha nguvu Russia pamoja na kwamba ni nuclear state,atakuwa kama Iran na north Korea ( sio Tena super power). Ndio maana halisi ya vikwazo alivyo wekewa.china inaweza kuwa balancing state hapa Kwa kutumia 100% ya mazao ya nishati kuisupport Russia isianguke kiuchimi ndio maana nao wanachokozwa wajichanganye kwenye hili jambo,Sasa hivi wanajenga bomba la mafuta mbadala wa Nord stream 2
2) Kwa ukrain
Hii ni vita kamili ya daudi na Goliath,na daudi ameuthibitishia ulimwengu Russia ni chui wa makaratasi, Kwa kuangalia uwezo (Military hardware ) na (battle philosophy).
Nini kinafanyika;
I) Mauzo ya vifaa vya kivita vya urusi yataanguka, mauzo ya vifaa vya kivita vya mataifa ya ulaya na marekani yatapanda,
ii) adhma ya kujiunga na Eu itaongezwa na kuwa ya kujiunga na nato pia,na kusogeza sio TU nuclear deterrent hardware mlangoni pa Russia bali hata missile shields mpakani na Russia karibu Kila upande, muda simrefu kalingrad itaanza kujiondoa Russia ilikusiwe na sea Access.
Wakimalizana na bwana Russia watamfuata bwana xi kumuamzishia chokochoko!,kelele za N.Korea na Iran zitaishia hapo.
Huu ndio mchezo unaoendelea.
Ukiamua kuangalia mchezo mzima kama vita kamili:
HIMARS System (game changer) hazifiki 100, lakini pia hazija achiwa pamoja na mabome ya aina zote,Wana maximum range ya 80km, na type Moja TU ya mabomu siyo array yote ya mabomu, askari wanaoenda battle front wa Russia ni fairly fresh recruits,hii maana yake Russia anabaki kutumia long range artillery kupata battle ground shield against Ukraine tatizo hapa ni accuracy Kwa Russian artillery. ,Ukraine watasogea karibu sana na askari wa Russia, hivyo Russia watalazimika kupoteza askari wengi sana,kinachofanywa Sasa ni kuwafanya askari wa urusi wapate battle fatigue,Russia hawezi Tena kumobilize 300k soldiers most likely Belarusian army will step in escalation will result in ww3.hii ni last option Kwa mtazamo wangu!