Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Shida ya watu wanajibu kishabiki na kutoa hoja zao kishabiki sana hadi maana ya Uzi ulioanzishwa unakosa maana toa hoja bila kutukana ichambue hoja yako.

Kifurushi cha saivi kimetolewa kuendana na mazingira ya vita inavyokwendaa naamini Ukraine wanaandaa counter offensive kubwa sana Ila matarajio sidhan kama yatakuwa mazurii kumbuka saivi Urusi naye kaanzisha mashambulizi mapyaa hayupo tena kulindaa tu maeneo aliyochukua ila anataka kuichukua maeneo mapya kushambulia kwa Urusi kutaipa ukrein wakati mgumu sana kurudisha maeneo yake na kutashuudiwa umwagaji mkubwa sana wa damu

Urusi ili kuzidi kushililia maeneo aliyopata hana budi kuongeza mashambulizi kupata maeneo mapya bila ivyoo hii vita atoboii hadi mwezi wa6 atanyoosha mikono juu kumsubiri mwenzako anayekuja kushambulia ni kuongeza vifo na majeraha kwa askari wko iyoo itawavunja nguvu wale wengine na kuanza kuachia maeneo wanayoyalindaa.

Matarajio yangu hii vita bado ina mwaka mzima mbele wa kuendelea labdaa 2024 katikati Ila kwa mwaka huu sioni kama kuna ata mmoja atanyoosha mikono na kukubali kushindwaa, Russia kashaaribu hawezi kurudi nyuma tna ata Leo hii Putin akinyofolewa pale bado vita itaendelea yote ni kulindaa hadhi ya taifa lao.

Wengi wanaiona Russia kama haina nguvu kiuchumi wa kukabiliana na hii vita sijui wanatumia akili gani kufikiria wengi tumeona baada ya vikwazoo kwa urisi ni hali gani nchi zote ulimwenguni zilipitia kiuchumi ila bdo watu wameshupaza shingo ila acha tuzidi kujionea
Amefumua watu huko leo
Screenshot_20230108-163127_RT News.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20230108-163127_RT News.jpg
    Screenshot_20230108-163127_RT News.jpg
    227.1 KB · Views: 3
Umesahau alipovamia Ukreine alianza na kupiga mkwala kwamba atakae isaidia Ukreine atachukua Ndoige na kipondo ambacho hakijawahi kuonekana??
Huwezi ukavaa kata-K halafu ukatembea mtaa wa mabasha wakakuacha! Lazima wakufumue malinda...
Kwani kuna nchi yoyote imetangaza/kuingia kwenye battle filed upande wa ukrane. Usifikili Russia ni wajinga kama wewe
 
Mkuu naona unapingana na takwimu na mafanikio anayoyapata Ukraine kila baada ya kupokea msaada wa kifurushi cha aina flani kinachowawezesha wanajeshi wa Ukraine waadvance kwenye uwanja wa vita.

Kifushi hiki sasa kitawawezesha wanajeshi wa Ukraine kuingia mtaa kwa mtaa wakifanya mashambukizi ya face to face na wanajeshi wa Urusi and probably Urusi hana siraha za kukabiliana na bradleys IFV's
Ngoja tuone maana lengo la kuiprolong vita naona linafanikiwa sana.
Mafanikio gani ambayo ukraine yameipata mpaka muda huu?
 
Mkuu naona unapingana na takwimu na mafanikio anayoyapata Ukraine kila baada ya kupokea msaada wa kifurushi cha aina flani kinachowawezesha wanajeshi wa Ukraine waadvance kwenye uwanja wa vita.

Kifushi hiki sasa kitawawezesha wanajeshi wa Ukraine kuingia mtaa kwa mtaa wakifanya mashambukizi ya face to face na wanajeshi wa Urusi and probably Urusi hana siraha za kukabiliana na bradleys IFV's
Ngoja tuone maana lengo la kuiprolong vita naona linafanikiwa sana.
Punguza mahaba mkuu majimbo yamewashinda kurudisha we unaleta polojo
 
Kwa mtizamo wangu. Wazungu wa west mwanzo wa vita wao walimsoma kwanza mrusia then Ndio wanamlegeza taratibu na hii vita imekuwa ngumu Kwa Russia coz western wanapata information nyingi za vita kutoka Russia kwenyewe coz kuna watu wengi ndani ya Russia hawakubalian na hii vita ya Putin. So mipango yote ya Russia ipo mikononi mwa spy wa western. Na jamaa wako Smart sana so wanacheza nae mpaka alegee. Sema nilivyowaona wa West ni kama hawamuoni tena Russia kama tishio washamsoma. Ila kwasasa tishio lao ni China na Ndio walikuwa wanamtafuta pale Taiwan mchina akastuka.
Mchina ataingia tu mkuu

Jamaa mpaka wamepasua bomba la gas na mrusi hajawafanya kitu.
 
Kwani kuna nchi yoyote imetangaza/kuingia kwenye battle filed upande wa ukrane. Usifikili Russia ni wajinga kama wewe
battle filed ndio mboga gani??
Unaelewa maana ya msaada??
Wakati wa vita yetu na uganda mrusi alikataa kutuuzia anti aircraft missile na kuongeza kasi ya kumpa uganda ndege vita, hadi zikawa zinatamba hadi mwanza!
Kukosa hekima ya Nyerere kuomba msaada Msumbiji na Algeria na wakatusaidia heat seaking missile sijui tungekuwa wageni wa nani!
Au ulikuwa bado unanyonya?!
Kichwa cha dingi kinaviziwa muda utasema!
Kama hupendi meza sumu ya panya unune.
 
PUMBA.. Asilimia kubwa ya silaha za tanzania tulizipata kutoka Urusi. Unalifahamu hilo? Unajua ukweli wa chanzo cha vita ya Kagera? Nakushauri achana na mambo ya kutumia akili maana hata kuku ana akili kubwa kukushinda. Wewe endelea tu ku promote ushoga
 
PUMBA.. Asilimia kubwa ya silaha za tanzania tulizipata kutoka Urusi. Unalifahamu hilo? Unajua ukweli wa chanzo cha vita ya Kagera? Nakushauri achana na mambo ya kutumia akiki maana hata kuku ana akili kubwa kukushinda. Wewe endelea tu ku promote ushoga
huna ulijualo ningekwambia mengi ili ufunguke ilaha nakuona upo kwenye ashki majunun!
Kwani wale mbuzi wa mahakama ya mbuzi wanao firana wamehamasishwa na nani???
 
Ukitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili,
1) Kwa urusi;
haikuichukulia kama vita kamili mpaka kama wiki 2 zilizopita, ndio wamei tafsiri kama vita. Urusi inahitaji eneo zaidi la kilimo na kupunguza/kutawala urahisi was ukrain kutumia bahari. Hii ni kwa sababu urusi inajilinda na Nato (ambayo msingi wake ni kujilinda dhidi ya Russia( ilikuwa USSR wakati huo).ukumbuke pia pamoja na ukubwa wa ukrain hawakuwa wakijiandaa kivita dhidi ya yeyote,lengo lao halikuwa kuingia Nato Bali kuingia EU (Kwa biashara ya mazao ya kilimo). Tishio hili linafungua njia mbili;
a) nchi zote 13 zilizo tokana na mvunjiko wa USSR zinataka kuwa member wa Nato ili kujilinda na Russia ya Leo,
b) kunaipa Nato mnjia rahisi ya kumshusha nguvu Russia pamoja na kwamba ni nuclear state,atakuwa kama Iran na north Korea ( sio Tena super power). Ndio maana halisi ya vikwazo alivyo wekewa.china inaweza kuwa balancing state hapa Kwa kutumia 100% ya mazao ya nishati kuisupport Russia isianguke kiuchimi ndio maana nao wanachokozwa wajichanganye kwenye hili jambo,Sasa hivi wanajenga bomba la mafuta mbadala wa Nord stream 2

2) Kwa ukrain
Hii ni vita kamili ya daudi na Goliath,na daudi ameuthibitishia ulimwengu Russia ni chui wa makaratasi, Kwa kuangalia uwezo (Military hardware ) na (battle philosophy).
Nini kinafanyika;

I) Mauzo ya vifaa vya kivita vya urusi yataanguka, mauzo ya vifaa vya kivita vya mataifa ya ulaya na marekani yatapanda,

ii) adhma ya kujiunga na Eu itaongezwa na kuwa ya kujiunga na nato pia,na kusogeza sio TU nuclear deterrent hardware mlangoni pa Russia bali hata missile shields mpakani na Russia karibu Kila upande, muda simrefu kalingrad itaanza kujiondoa Russia ilikusiwe na sea Access.
Wakimalizana na bwana Russia watamfuata bwana xi kumuamzishia chokochoko!,kelele za N.Korea na Iran zitaishia hapo.
Huu ndio mchezo unaoendelea.

Ukiamua kuangalia mchezo mzima kama vita kamili:
HIMARS System (game changer) hazifiki 100, lakini pia hazija achiwa pamoja na mabome ya aina zote,Wana maximum range ya 80km, na type Moja TU ya mabomu siyo array yote ya mabomu, askari wanaoenda battle front wa Russia ni fairly fresh recruits,hii maana yake Russia anabaki kutumia long range artillery kupata battle ground shield against Ukraine tatizo hapa ni accuracy Kwa Russian artillery. ,Ukraine watasogea karibu sana na askari wa Russia, hivyo Russia watalazimika kupoteza askari wengi sana,kinachofanywa Sasa ni kuwafanya askari wa urusi wapate battle fatigue,Russia hawezi Tena kumobilize 300k soldiers most likely Belarusian army will step in escalation will result in ww3.hii ni last option Kwa mtazamo wangu!
Hii battle fatigue ndo inayoshika kasi kwa sasa, tazama Ukraine anavyopiga Russia na kuua askar wake kisha anatuma udhihirisho wa picha na video, hii inaondoa morale kwa jeshi la russia.

Siwezi mimi kuona askari wenzangu wanakufa kinyama tena mpaka picha zipo kisha nikawa na moyo wa kwenda vitani.

Pia tuelewe kubwa, US na NATO inatoa msaada kwa Ukraine kutoka sehemu ndogo saana ya uwezo wao wa kijeshi. Fikiria wapeleke long range missiles za HIMARS, fikiria wapeleke F14, F18 au F35 huko Ukraine.

Fikiria Ukraine wapewe silaha za kutosha kwa ajili navy battlefield. Itakuwa ni hatari na nusu.
 
Wanajuwa wakipeleka hizo silaha ndio utakuwa mwanzo wa mwasho wa biashara ya silaha za marekani, maana zitafumuliwa vibaya sana
 
Ukitazama hii tunayo iita vita,lazima tuwe na mitazamo miwili,
1) Kwa urusi;
haikuichukulia kama vita kamili mpaka kama wiki 2 zilizopita, ndio wamei tafsiri kama vita. Urusi inahitaji eneo zaidi la kilimo na kupunguza/kutawala urahisi was ukrain kutumia bahari. Hii ni kwa sababu urusi inajilinda na Nato (ambayo msingi wake ni kujilinda dhidi ya Russia( ilikuwa USSR wakati huo).ukumbuke pia pamoja na ukubwa wa ukrain hawakuwa wakijiandaa kivita dhidi ya yeyote,lengo lao halikuwa kuingia Nato Bali kuingia EU (Kwa biashara ya mazao ya kilimo). Tishio hili linafungua njia mbili;
a) nchi zote 13 zilizo tokana na mvunjiko wa USSR zinataka kuwa member wa Nato ili kujilinda na Russia ya Leo,
b) kunaipa Nato mnjia rahisi ya kumshusha nguvu Russia pamoja na kwamba ni nuclear state,atakuwa kama Iran na north Korea ( sio Tena super power). Ndio maana halisi ya vikwazo alivyo wekewa.china inaweza kuwa balancing state hapa Kwa kutumia 100% ya mazao ya nishati kuisupport Russia isianguke kiuchimi ndio maana nao wanachokozwa wajichanganye kwenye hili jambo,Sasa hivi wanajenga bomba la mafuta mbadala wa Nord stream 2

2) Kwa ukrain
Hii ni vita kamili ya daudi na Goliath,na daudi ameuthibitishia ulimwengu Russia ni chui wa makaratasi, Kwa kuangalia uwezo (Military hardware ) na (battle philosophy).
Nini kinafanyika;

I) Mauzo ya vifaa vya kivita vya urusi yataanguka, mauzo ya vifaa vya kivita vya mataifa ya ulaya na marekani yatapanda,

ii) adhma ya kujiunga na Eu itaongezwa na kuwa ya kujiunga na nato pia,na kusogeza sio TU nuclear deterrent hardware mlangoni pa Russia bali hata missile shields mpakani na Russia karibu Kila upande, muda simrefu kalingrad itaanza kujiondoa Russia ilikusiwe na sea Access.
Wakimalizana na bwana Russia watamfuata bwana xi kumuamzishia chokochoko!,kelele za N.Korea na Iran zitaishia hapo.
Huu ndio mchezo unaoendelea.

Ukiamua kuangalia mchezo mzima kama vita kamili:
HIMARS System (game changer) hazifiki 100, lakini pia hazija achiwa pamoja na mabome ya aina zote,Wana maximum range ya 80km, na type Moja TU ya mabomu siyo array yote ya mabomu, askari wanaoenda battle front wa Russia ni fairly fresh recruits,hii maana yake Russia anabaki kutumia long range artillery kupata battle ground shield against Ukraine tatizo hapa ni accuracy Kwa Russian artillery. ,Ukraine watasogea karibu sana na askari wa Russia, hivyo Russia watalazimika kupoteza askari wengi sana,kinachofanywa Sasa ni kuwafanya askari wa urusi wapate battle fatigue,Russia hawezi Tena kumobilize 300k soldiers most likely Belarusian army will step in escalation will result in ww3.hii ni last option Kwa mtazamo wangu!
Mwenyewe umeona hapo umeandika points 😄😄😄😄
 
Bro unaichukulia Russia kilaisi kirahisi namna hiyo?? Unafikili Russia yupo peke yake ktk hiyo vita? Ukraine itakuwa kichinjio cha jeshi la NATO.
Ila mjumbe katoa ufafanuzi wa kitaalam amabo unahitaji kujibiwa in a similar way
 
Russia will WIN this war (Nimekaa pale). Na hata ikitokea kama usemavo WW3 endapo badae NATO wataingiza majeshi rasmi ukraine means itakua vita vya nyuklia🔥 ni vita ambayo EU hawawezi kukubali itokee kbs kwenye bara lao maana wao ndio wanapakana na Russia na sio USA, Note this📌
Nilitamani huyo unayemjibu umjibu kwa takwimu kama alivyofanya yeye. Mi naamini kuwa sisi outsiders hatuwezi ku-predict kitakachotokea
 
Back
Top Bottom