Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Hapo USA kuondoa majeshi Afghanistan ili adili na urusi Ukraine umenipanga kaka!!!Unajua USA aliondoa alisitisha operasheni za kijeshi lini nchi ni Afghanistan?????Na vita vya Ukraine vilianza lini kaka?????
 
Inatoka NATO, kwani wewe huoni vifurushi vya silaha plasi wanajeshi. Russia anapigana na NATO na leo huko Soledar in Donestk region, NATO wamechezea kichapo cha maana mpaka wamekubali kuachia mji wa Soledar
Wewe unachangia kishabiki sio kitaalamu kaka
 
Hapo USA kuondoa majeshi Afghanistan ili adili na urusi Ukraine umenipanga kaka!!!Unajua USA aliondoa alisitisha operasheni za kijeshi lini nchi ni Afghanistan?????Na vita vya Ukraine vilianza lini kaka?????
Marekan alishajua nin kitatokea mda Sana kwakua wao ndio walikua wakimuandaa ukrain tangu 2014,hivyo alichokifanya Ni kutime kujiondoa mapema Afghanistan ili ajipe mda wa kudili na Vita alivyojua vitatikea hapo mbele,
 
Kaka unaongea kitaalamu au kishabiki kaka au kiafidhina???
 
Mkuu propaganda za west zimekuharibu hakuna taifa lililoweza kumvisha paka kengele kama urusi hata hao Nato wanashangaa
Kwajinsi wanajeshi wao wanavyo chinjwa huko Ukraine.tuache ushabuki kusema ukweli
urusi ni taifa kubwa lenye uwezo kiuchumi na tenchnolojia ya hali ya juu ya kijeshi
juzi Rais Putin katoa meli ya kivita yenye uwezo wa kurusha hypersonic missile aina Zircon (unaweza ku Google) yenye uwezo wa kupiga sehemu yoyote ya dunia kwa muda wa saa moja ina speed mara nane ya sauti na inauwezo wa kutungua ndege za kivita meli za kuvita drones n.k na hakuna air defense system kwa sasa si za Nato wala Ukraine zenye uwezo wa kuyazua makombora hayo na meli hiyo kwa mara ya kwanza Putin kaitoa ikafanye operation ukrain
kwaiyo mrusi ana uwezo wa kujipigia popote anapotaka ndani na nje ya Ukraine!west wakitaka hii vita iishe wamwambie zelensky akae na putin waongee yaishe ila kama west wanadhani kwa kumpa silaha zelensky ndo wataushinda urusi kwenye uwanja wa vita hilo wasahauu .NARUDIA TENA WASAHAU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…