Je, Ukraine inapoteza vita? Nchi za NATO zinavuja damu? Tutarajie Shambulio kubwa jipya kutoka kwa Warusi?

Una uhakika huyo urusi hapeleki mizigo mipya ya silaha kila siku??
Kwani silaha Huwa zinatumika kufanya nini huko vitani?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii inamaanisha silaha mnazopeleka zinafilimbwa na hakuna progress zozote ndio maana kila siku ni kuchangishana misilaha ya kumpelekea Comedian
 
Wanalalamika huku MKUU [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji1255][emoji635]"Kiev is grateful to partners for military assistance, but none of them did enough," head of the Ukrainian Foreign Ministry Dmytro Kuleba[emoji1255][emoji635]"Kiev is grateful to partners for military assistance, but none of them did enough," head of the Ukrainian Foreign Ministry Dmytro Kuleba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Russia will WIN this war (Nimekaa pale). Na hata ikitokea kama usemavo WW3 endapo badae NATO wataingiza majeshi rasmi ukraine means itakua vita vya nyuklia🔥 ni vita ambayo EU hawawezi kukubali itokee kbs kwenye bara lao maana wao ndio wanapakana na Russia na sio USA, Note this📌
When Russia will win this war?????Unaongea kitaalamu au kama mshabiki wa siasa kaka??
 
Russia inapigana vita huku imefungwa kamba za mikono Kwa economic sanctions ebu angalia jinsi zile mali na fedha za oligarchy zipo freeze na pesa zote zinaenda Ukraine...vita hii huitaji degree bachelor kujua kuwa Russia anapigana na upepo Tu na hawezi kushinda.
Russia agepata ushindi kama angekuwa anapigana na nchi za Asia au Africa lkn Kwa nchi za ulaya hiyo haitatokea kamwe.

Bila msaada wa westerners hii vita ingeisha ndani ya wiki 3 mpaka kuiteka Kiev Ukraine ndiyo maana tunaona bado Hali ngumu Kwa upande wa Russia hakuna achievement yeyote mpaka SASA zaidi ya kupoteza maisha ya Askari wake, winter season ilivyoanza watu walisema Ukraine inaenda kufa Kwa baridi na ulaya nzima lkn mpaka Leo watu wanasonga mbele tu
Russia hana mpango wa kuteka kiev, kwa sasa,, kwani anajua itamcost na insurgency
 
Kuucontrol mji mkubwa kama kiev ni gharama sana, money and blood
Ur right makamanda wa divishni zilizojaribu kuiteka kiev walipoteza wanajeshi wengi sana!!!Lakini sijajua kitu kaka?????Nguvu ya jeshi la ukrane kupambana inatoka wapi???
 
Misaada ya magharibi, kwasasa, ukraine anapokea misaada mara dufu kuzidi hata israel, interm of cash na silaha za kawaida, intelligence yote ya movements za Russia anazipata toka US,, kuna ndege za upelelezi za US Riverjoint, kila siku zinanyanyuka blacksea, zikichukua picha, kuna satelites,, ukraine anapata targeting intelligence wapi apige kuna silaha au kuna magari vita ya russia etc,,
US aliondoa majeshi afaghnistan ili abaki kudeal na Russia hapo ukraine
 
Inatoka NATO, kwani wewe huoni vifurushi vya silaha plasi wanajeshi. Russia anapigana na NATO na leo huko Soledar in Donestk region, NATO wamechezea kichapo cha maana mpaka wamekubali kuachia mji wa Soledar
 
Misaada ya magharibi, kwasasa, ukraine anapokea misaada mara dufu kuzidi hata israel, interm of cash na silaha za kawaida, intelligence yote ya movements za Russia anazipata toka US,, kuna ndege za upelelezi za US Riverjoint, kila siku zinanyanyuka blacksea, zikichukua picha, kuna satelites,, ukraine anapata targeting intelligence wapi apige kuna silaha au kuna magari vita ya russia etc,,
US aliondoa majeshi afaghnistan ili abaki kudeal na Russia hapo ukraine
Good answer tukumbuke marekani hana vita nje wala vikosi ambavyo vinapigana nje labda kidogo pale Iraq ndyo vipo kwa wasiwasi ila siyo sana kwaiyo nguvu yake ipo pale ukrein, watu wanaona kama Russia kaloose hii vita ila kwenda nayo kwa timing imekuwa jambo jema kwake maana akicheza mchezo anaocheza USA atajiingiza kingi mwenywe kwenye hii vita naona makosa aliyofanya Russia ni kitoanzisha mashambulizi mapya ya kuchukua maeneo mapya pale alipoichukua Kherson, luhanska na upande mkubwa wa Donetsk mwezi huu kapata progress kubwa ngoja tuone kipi ukrein atakuja nacho baada ya kupoteza pale baktum
 
Kwanza watu waache ushabiki wajaribu kutafakari kwa namna nzuri, yaani adui kaingia ndani kwako kakuchakaza vya kutosha,kavunja kila kitu cha thamani ndani kwako umeita majirani na marafiki mumtoe lakin wapi anaendelea kukuzoofisha yaani unamsogeza kutoka vyumbani mpaka sebuleni yaani still yupo ndani kwako then unasema umemshinda, people need to understand that ukraine is a playing ground hayo mataifa yote washirika wa ukraine wapo ukraine kupambana na urusi ila hawawezi kusema wapo huko. unampaje siraha mtu ambae hajui kuzitumia siraha hizo within a war period akazitumia kwa ufasaha? Maana yake hizo siraha wanazi_operate wenye nazo kwahiyo putin anapigana na mataifa makubwa mengi na anayamudu kwa wakati huu ndio maana haja-initiate vita ya wazi na mataifa yaliyoingilia huo mgogoro, harafu tunatakiwa kujua kuwa vita zote za Dunia zilianza hivi mwisho wa siku kuna kichaa ataamua kutupa karata ya mwisho ili kumaliza vita kama mauretania alivofanya kule iroshima na nagasaki watu wakaitikia shikamoo so tuendelee kusubili hii vita sio ndogo as long siraha kubwakubwa zimeanza kutolewa basi tutashuhudia mengi tu tusiyoyatarajia.
 
Kila siku mnaomba kifurushi toka kwa mabeberu,,,hizo mnazopewa zinaenda wapi??

Ukraine haipewi Mapanga kwamba wataamka asubuhi na kwenda kukata kata vichwa askari wa Urusi then wakichoka wanarudi na Mapanga yao kambini yakiwa mazima vile vile.
Ukraine haipewi mikuki
Kwamba watachoma askari wa Urusi na mikuki inabaki vile vile.

Ukraine anapewa risasi,mabomu etc. Risasi ikitokea ndiyo imekwenda hivyo haiokotwi tena ili irudishwe kwenye bunduki. Bomu likitupwa ndiyo likwenda hivyo no matter lime-hit target ama limekosa target ndiyo Maana US anapeleka silaha kila zinapohitajika.
 
Game chenja ama mama chanja
 
Misaada ya magharibi, kwasasa, ukraine anapokea misaada mara dufu kuzidi hata israel, interm of cash na silaha za kawaida, intelligence yote ya movements za Russia anazipata toka US,, kuna ndege za upelelezi za US Riverjoint, kila siku zinanyanyuka blacksea, zikichukua picha, kuna satelites,, ukraine anapata targeting intelligence wapi apige kuna silaha au kuna magari vita ya russia etc,,
US aliondoa majeshi afaghnistan ili abaki kudeal na Russia hapo ukraine
Hapo kuzidi Israel unanipanga kaka!!Wewe data zako umetoa wapi nipe source's tuone na tuache ushabiki!!!!
 
Back
Top Bottom