Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,187
- Thread starter
- #21
Kwa nini mzee, weusi wa picha ama?Kumbe Enoch was a Tanzanian, asante Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini mzee, weusi wa picha ama?Kumbe Enoch was a Tanzanian, asante Mungu
Labda nimsaidie mtoa mada mawili matatu.....Kwann hicho kitabu kilitolewa?
Kuna siri/mapungufu gani katika kitabu hicho?
Nani alikitoa?
Tuanzie hapo kwanza labda nitapata kitu kidogo
Iv bro ukitokewa na malaika mbongo yaan mweus utakubali? Yaan akatokea jemba mweus akakwambia Mimi ni malaika kutoka kwa bwana, afu huyo jemba ni mweus Wala siyo mweupe utakubaliHapo kuna shida nyingine kubwa sana. Sitaki kuliko fella hili kwa sasa but naliandalia timing tu naendelea kukusanya data, kuna siku nitalileta hili la Malaika kuwa weupe tu muda wote.
sasa mkuu kma lifuvu kubwa liligunduliwa huko ethiopia huyu wa bonde la huku kwetu bas hakuwa binaadam wa kwanzaKuna baadhi wamekuwa hawaamini juu ya uwepo wa Giants waliopitiliza. Hebu angalia hapa uvumbuzi wa mafuvu haya na miaka yalipovumbuliwa.
Likubwa kabisa (futi 36) ni lile lililovumbuliwa huko Carthage (Tunisia) na lingine huko Bosphorus (Turkey).
View attachment 956601
Naamini uko sahihi kabisa.Labda nimsaidie mtoa mada mawili matatu.....
Kwanini kimetolewa??
1.Kimeandikwa 200 BC ilihali Henoko alishakufa miaka zaidi ya 3500 BC hivyo kikaonekana hakijaandikwa na Henoko yule wa Biblia.
2. Kinakinzana na vitabu vingine vya manabii na mitume wa Biblia mfano Henoko anasema Malaika walizaliana na binadamu ilihali Agano jipya Yesu anasema malaika hawana jinsia.
3. Kitabu cha Henoko kinaelezea mambo kibao ya kiroho mfano kusoma nyota,kufanya miujiza,Maelezo juu ya malaika,majini na mashetani kwa undani sana, mambo ambayo viongozi wa kanisa wakaona kama ni mafundisho magumu sana kuwapa wakristo maana wangeweza kuyatumia vibaya n.k
Kuhusu siri
1. Inaeleza kuwa Noah alikuwa mzungu wa kwanza kiasi walishangaa mtoto mweupe katokea wapi meaning kuna uwezekano Henoko hadi Adam walikuwa weusi... So wazungu hawataki tulijue hili
2. Siri ingine ni malaika kuzaliana na wanadamu na kuzaa kizazi cha majitu makubwa kama wanefili ambayo yalitesa sana hii dunia suala hili kwenye Biblia halina majibu na inasemekana damu/genes zao zimeendelea kuwepo mpaka leo kwa jamii fulani influential hapa duniani ambazo zinaicontrol dunia.... Kwanini kisifichwe???
3. Henoko anaeleza mambo mengi ya kiroho na nabii ambazo baadhi ya waganga na wachungaji huzitumia kufanya miujiza,kusoma nyota n.k sasa siri kama hizi kwanini zisifichwe
Na zingine nyingi
Nani alikitoa??
Wakati Biblia inakuwa compiled both agano la kale na jipya kwa pamoja hicho kitabu cha Henoko kilihesabiwa kama pseudepigrapha yaani FEKI... Hivyo kikapotezwa lakini waethiopia walishakuwa wamekitunza miaka na miaka hivyo kikatambulika kwenye makanisa ya Orthodox ya Ethiopia na mpaka leo hii ndio kanisa pekee wanaokisoma ila huko ulaya walikikataa wakisema ni FEKI.
Nafikiri ntakuwa nmejibu kwa kiasi chake labda tumsubiri mto mada naye aongezee
Ni ngumu kabisa kukubaliana. Na sitakubali kwa sababu kuu moja. Dini zote zinazoongelea malaika hasa ukristo na uislamu, zinaonyesha malaika wakiwa weupe, so hiyo nayo imetuathiri sana.Iv bro ukitokewa na malaika mbongo yaan mweus utakubali? Yaan akatokea jemba mweus akakwambia Mimi ni malaika kutoka kwa bwana, afu huyo jemba ni mweus Wala siyo mweupe utakubali
Mafuvu ya huku Afrika, yanahusisha binadamu waliokuwa wana-evolve kutoka Homo Habilis kwenda stage ya Homo Erectus hadi kuwa Homo Sapiens (Mwanadamu kamili).sasa mkuu kma lifuvu kubwa liligunduliwa huko ethiopia huyu wa bonde la huku kwetu bas hakuwa binaadam wa kwanza
Nimependa hii comment kuliko PostHicho kitabu cha Enoch kinapatikana wap?
Je,kina Toleo la kiswahili?
Sijapata jibu....Nimependa hii comment kuliko Post
Nimependa hii comment kuliko Post
Sijapata jibu....
Hahaha unamwambia,yaani ww idilisa mkazuzu umeamua kunifanyia masihara kweli?!Iv bro ukitokewa na malaika mbongo yaan mweus utakubali? Yaan akatokea jemba mweus akakwambia Mimi ni malaika kutoka kwa bwana, afu huyo jemba ni mweus Wala siyo mweupe utakubali
Hicho kitabu cha Enoch kinapatikana wap?
Je,kina Toleo la kiswahili?
Unitag mkuuNi ngumu kabisa kukubaliana. Na sitakubali kwa sababu kuu moja. Dini zote zinazoongelea malaika hasa ukristo na uislamu, zinaonyesha malaika wakiwa weupe, so hiyo nayo imetuathiri sana.
Ninachokataa katika maisha yangu hadi kufa ni madai ya watu kuwa, sisi Waafrika ni uzao wa Ham. Kwa elimu yangu ya jiografia na Historia, mimi ndiye nitakuwa wa mwisho kukubaliana na suala hili.
Kuna siku nitaweka bandiko nilifafanue vyema suala hili ili mu-judge wenyewe, just wait.
Sitaweza kusoma kiingerezaPseudepigrapha, Apocrypha and Sacred Writings
Link hyo hapo mkuu kakitafute huko ila Sijawai ona version ya kiswahili
Sitaweza kusoma kiingereza
Sijakuelewa mzee. Inamaana na wewe ni Tomaso hauna unachokubaliana nacho mpaka ukione?Weee uliwaona wapi hao malaika?
Kusema kuwa garika ilisababishwa na nibiru ambayo mpaka sasa ni takriban miaka 3600 iliyopita ilipopita karibu na sayari yetu ya dunia siyo kweli maana nibiru haiwezi kuleta athari zozote maana nibiru haitegemei nguvu ya nyota yetu ya jua pia nubiru kupita karibu na dunia haibadirishi gravit ya dunia na mwezi kama ingebadilisha hata msimu na majira yangebadirika huenda hata kuathiri mfumo wetu wa maisha ,viumbe hai kwa ujumla.Mafuvu ya huku Afrika, yanahusisha binadamu waliokuwa wana-evolve kutoka Homo Habilis kwenda stage ya Homo Erectus hadi kuwa Homo Sapiens (Mwanadamu kamili).
Hata hivyo, ukiongelea juu ya Giants, unaongelea viumbe waliozaliwa kati wanadamu na malaika. Kwa hiyo tofautisha wanadamu wa kwanza waliotoka Afrika na walipofika huko Asia, ndipo walipoonekana kutoka kwa hao malaika.
Muhimu ni kuwa, ukitaka kulielewa tukio hilo hasa periodisation, achana na periodisation za kwenye Vitabu Vitakatifu kwani zina walakini mkubwa. Mfano: Kwenye Biblia, umri wa Dunia tokea kuumbwa kwa Adam na Hawa (Eva) ni miaka ipatayo 6,000 pekee lakini tunaelewa kuwa, binadamu wa awali (Homo Erectus) walitoka barani Afrika miaka ipatayo 500,000 iliyopita na kwamba by 200,000 binadamu kamili (Homo Sapiens) walikuwa walishavuka kutoka Afrika hadi Asia, japokuwa migration (Out of Africa) kubwa ilikuwa ya miaka ya 100,000 - 60,000 iliyopita. Umeona tofauti hiyo?
Hata hiyo inayodaiwa gharika kuwa iliua watu wote nayo ina utata mkubwa kwani uchunguzi unaonyesha kuwa, haikugharikisha binadamu na viumbe vyote duniani na kwamba it was a local phenomena (Middle East) na siyo la Dunia nzima.
Vilevile, uchunguzi uliofanywa na wataalam ikiwemo tafasiri za Zecharia Setchin umekiri kuwa habari uumbaji; Adam na Hawa; Gharika; na Mnada wa Babeli; ni matokeo ya texts za zamani za Mesopotamia hasa Sumeria (Aliens?)
So, hata gharika ni matokeo ya Sayari ya Nibiru (Planet X) kupita karibu na Dunia na kusababisha gharika kubwa duniani.
Inadaiwa kutokana na uwezo mkubwa wa kimiungu (gods-like), Aliens (Malaika) waliokuwa duniani kipindi hicho, waliweza kuhepa gharika hiyo kwa kuwa walikuwa na uwezo wa kuona mabadiliko hayo yaliyokuwa yakitaka kutokea kufuatia ujio wa Nibiru karibu na Dunia.
Sitaki suala hili liwe mjadala kwenye bandiko hilo, but kuna myth kubwa juu ya hili. Na hata hiyo gharika, inaelezwa kuwa, Biblia iliandika kitu kilichowahi kutokea zamani na siyo
View attachment 958025