Je, ulaji wa kuku wagonjwa una madhara?

Je, ulaji wa kuku wagonjwa una madhara?

kinywanyuku

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
3,746
Reaction score
2,924
msaada wa kuku hivi kama unafuga kuku wa kienyeji halafu wakawa wagonjwa wanadalili za kufa maana wanatetemeka wanashindwa kutembea ukiwachinja uwale huwezi kupata magonjwa yao
 
Unajua saa nyingine unaweza ukawaza inakuaje mtu asiyesoma kabisa yaani mbumbumbu akaweza kuandika, hivi huu uzi umeandikiwa?
 
Chinja kabla hujala mpe paka atest mambo. Akila na wewe kula. Akiacha usile.
 
Unajua saa nyingine unaweza ukawaza inakuaje mtu asiyesoma kabisa yaani mbumbumbu akaweza kuandika, hivi huu uzi umeandikiwa?
kwanini mkuu mbona husomeki,au ndio unajionesha una akili sana ungeenda siasani kule
 
Back
Top Bottom