kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
msaada wa kuku hivi kama unafuga kuku wa kienyeji halafu wakawa wagonjwa wanadalili za kufa maana wanatetemeka wanashindwa kutembea ukiwachinja uwale huwezi kupata magonjwa yao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-na hawatudhuru kwakweli.Unashauriwa ujue ni magonjwa gani usije ukaparamia mafua ya ndege.
Ila sisi wa mikoani tunakula sana hao kuku.
-na hawatudhuru kwakweli.
namimi nilitaka kujua maana niligoma kula home-na hawatudhuru kwakweli.
-kula tu mkuu,namimi nilitaka kujua maana niligoma kula home
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Unajua saa nyingine unaweza ukawaza inakuaje mtu asiyesoma kabisa yaani mbumbumbu akaweza kuandika, hivi huu uzi umeandikiwa?
kwanini mkuu mbona husomeki,au ndio unajionesha una akili sana ungeenda siasani kuleUnajua saa nyingine unaweza ukawaza inakuaje mtu asiyesoma kabisa yaani mbumbumbu akaweza kuandika, hivi huu uzi umeandikiwa?