Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
sasa azam si ni simba B au?QUOQ
Umelewa nn?mbona unaongea bila vithibitisho?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa azam si ni simba B au?QUOQ
Umelewa nn?mbona unaongea bila vithibitisho?
Shabiki usiyejua kuandika majina ya wachezaji.Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami
Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
Kapombe kaanzia moro kidisi kaenda polisi moro akaitwa timu ya taifa ya vijana ndo simba wakamauonaKapombe alianzia kikosi cha Simba B baadae akapandishwa 2011 then 2012 akaenda Rens ya ufaransa akashindwa kuperform akasajiliwa Azam.
Sent using Jamii Forums mobile app
shomari kapombe katokea simba na wala sio azamNiwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami
Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
Wao imewasaidia nini???Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami
Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
Wao imewasaidia nini???
Hakuna,aliyewahi....Uko sahihi kabisa kua anakupata mafuta tu.Akuna aliyewai kunisifia kwenye uandishi hope unanipaka mafuta.
Ni zao la Rolling stone academy ya arushaErasto Nyoni hajapikwa na Azam bali alihudumu kama mchezaji kwa kipindi flani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kifupi jamaa lugha mama inamzingua!Hakuna,aliyewahi....Uko sahihi kabisa kua anakupata mafuta tu.
Umekubaliana na nani? Umeandika. Siyo umekubaliana.Ila tumekubaliana timu ya taifa stars azam ina mchango mkubwa mno.
OngezaShabiki usiyejua kuandika majina ya wachezaji.
manura= Manula
nyoni= Nyoni
Mukami= Mkami
Wewe jamaa ni kilaza kweli kwa masuala ya mpira.Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami
Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
Anakupaka mafuta aisee mm nakukosoa anaitwa Himmid na siyo ImmidAkuna aliyewai kunisifia kwenye uandishi hope unanipaka mafuta.