Je, ulikuwa unafahamu kwamba Azam ndo timu iliyopika wachezaji wengi waliopo timu ya taifa?

Je, ulikuwa unafahamu kwamba Azam ndo timu iliyopika wachezaji wengi waliopo timu ya taifa?

Naona wengine tunakubali, mpira siyo uchawi, vifaa, mafunzo, lishe, elimu, motisha, period...hakuna cha kamati ya ufundi wala sijuwi upuuzi gani kule...
 
Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami

Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
Shabiki usiyejua kuandika majina ya wachezaji.
manura= Manula
nyoni= Nyoni
Mukami= Mkami
 
Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami

Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
shomari kapombe katokea simba na wala sio azam
 
Wao imewasaidia nini???
 
Wao imewasaidia nini???

Uko sahihi, ila ku improve: Azam imesaidia kupika na kutunza viwango vya wachezaji....Taifa Stars.

Kutunza ni kwa maana kuwa isingefanya hivo, wangeweza kukosa nafasi Simba au Yanga kwa sababu nyingi tu, ikiwemo maskauti kushindwa kuwatambua, hatimaye tungewapoteza.

Akina Bocco na wengine, sina uhakika kama ni wote wamehamia Simba kwa aidha kuachwa na Azam au kwa kupewa mikataba hafifu labda kwa kuonekana hawafai. Hawa ni kama wamezaliwa upya, pia kwa sababu ya uwekezaji mzuri Simba.

Somo hapo ni kwamba ukomo wa uchezaji wa wachezaji wa Tanzania ni mfupi kuliko inavostahili ajili ya kukosekana huduma na mafao yanayohitajika.

Hivi vimekuwa haviendani na mahitaji halisi hivyo wachezaji wanakata tamaa mapema wakati uwezo unakuwa bado upo.

Faida ya wawekewezaji kama Bakheresa, Mo na wengine ni kujenga, kutunza na hata kuongeza thamani ya wachezaji kama tunavyoona watu tuliodhani wameisha kumbe bado wana uwezo.

Specifically kwa AZAM, kuna element ya branding ya timu inakosekana. Hili inabidi lijengwe ili ipate wapenzi wa kutosha. Naiona Azam kama Cosmo zamani. Ilisumbua vigogo lakini wote tunajua ilikoishia. Wachezaji walipoenda Yanga(Kitwana Manara) au Simba(Jumanne Masimenti, Mohamed Bakari Tall ) ndipo walianza kuonekana wanafanya la maana. Inaweza kuwa na faida yake kwa maana ya vitu neutral kuna wakati vinakuwa bora, then hiyo ndiyo iwe brand, though i am sure that somebody should come up with some unique element of identity kwa " AZAM the soccer club" ili iuzike inavyostahili, ukizingatia kuwa at least regionally, ni multi-national. Kwa mfano, mtandao wao wa scouting nchi walikowekeza unaweza kusaidia sana hata through social responsibility, kwa kutengeneza academies et.c. ambazo zitakuwa chanzo cha wachezaji wao na wapenzi wa kimataifa.
 
na kuna ile point yetu 1 katika 8 zilizotuvusha, tuliivuna CHAMAZI game na LESOTHO!
 
Niwapongeze wamiliki wa timu ya azam japo bado wanasafari ndefu ya kwenda ila ndo timu iliyopika wachezaji wengi walipo taifa stars. Mimi sio mjuvi sana wa mpira ila kama kuna mchezaji nimemusaau mtamuongeza kwenye list.
1.Aishi manura
2.Gadiel michel mbaga
3.Erasto nyoni
4.Aggrey Morris ambross
5.Faridi Mussa
6.Shabani Idd Chilunda
7.John Rafel Bokko
8.Immid Mao Mukami

Alafu fahamu kama sio majelaa kapombe angeitwa. Nakwenye hyo list ukimtoa Shabani chiluda waliobaki wameenza kwenye mechi zidi ya uganda. Kweli mpira ni uwekezaji.
Wewe jamaa ni kilaza kweli kwa masuala ya mpira.

BTW rais kakataza mambo ya unazi wa timu kwenye timu ya taifa.
 
Back
Top Bottom