Je ulikuwa unajua hili kuhusu Sweden na Denmark ?

Je ulikuwa unajua hili kuhusu Sweden na Denmark ?

Je wajua neno Bluetooth limetika wapi?

Neno Bluetooth limetikana na jina la mfalme raia wa Denmark aliyeunganisha Scandinavia, alitawala maeneo ya Norway, Sweden na Finland.

Kwa jina anaitwa Harald Bluetooth.

Je, wajua kwa nini Secretarybird anaitwa mzee wa Hormuz? Fuatilia ujue.

Al-mukheef.
 
Sasa kwani nini Bluetooth ilipewa jina lake ndugu mwandishi
 
Bluetooth is a short-range wireless technology that lets different devices connect and share data without cables
Sasa Harald Bluetooth alikuwa mfalme aliyeunganisha makabila/watu kule Norway, Denmark nk kwa ufani mkubwa. Baada ya teknolojia hiipya katika karne ya 20 kushabihiana na hiki kilichofanywa na bwana Harald, ndipo likaitwa kwa jina lake (Bluetooth).

Are we together?
 
Kwenye miti 😃
20260616_174610.jpg
 
Back
Top Bottom