Je ulikuwa unajua hili kuhusu Sweden na Denmark ?

Je ulikuwa unajua hili kuhusu Sweden na Denmark ?

Wakamaria Portugal katuweza leo
Yaan hii n trump.world cup
Mwendo wa surprise tu aisee
 
Vipi lugha ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar unaionaje
Ni tabia mbovu tu,
Tunaelewana vizuri tu lugna zetu.
Ni wao wanaamua kujitoa ufahamu.
Sweden unatoka usiku utalewa Denmark asubuhi uko tena mjini.
Ni dakika 15 tu kuvuka mpaka kwenye lile daraja.
Danmark utakunywa pombe no limit usiku kucha.
Ukirudi huko Sweden control ipo kilasiku.
Kwenye lugha mtaelewana.vizuri tu
 
Back
Top Bottom