Vipi lugha ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar unaionajeHao hata lugha kila mmoja aongee ya kwake lakini wanaelewana vizuri tu na. Kugonga cheers
Sasa kwani nini Bluetooth ilipewa jina lake ndugu mwandishiJe wajua neno Bluetooth limetika wapi?
Neno Bluetooth limetikana na jina la mfalme raia wa Denmark aliyeunganisha Scandinavia, alitawala maeneo ya Norway, Sweden na Finland.
Kwa jina anaitwa Harald Bluetooth.
Je, wajua kwa nini Secretarybird anaitwa mzee wa Hormuz? Fuatilia ujue.
Al-mukheef.
Kwanza nipe definition ya Bluetooth kisha nikueleze kwa utuo.Sasa kwani nini Bluetooth ilipewa jina lake ndugu mwandishi
Bluetooth is a short-range wireless technology that lets different devices connect and share data without cablesKwanza nipe definition ya Bluetooth kisha nikueleze kwa utuo.
Sasa Harald Bluetooth alikuwa mfalme aliyeunganisha makabila/watu kule Norway, Denmark nk kwa ufani mkubwa. Baada ya teknolojia hiipya katika karne ya 20 kushabihiana na hiki kilichofanywa na bwana Harald, ndipo likaitwa kwa jina lake (Bluetooth).Bluetooth is a short-range wireless technology that lets different devices connect and share data without cables
Kwenye miti 😃Nchi ngumu sana hii, bora Zanzibari iendelee kututawala tu aiseeee....🤥
Kwenye miti 😃