Al-mukheef
JF-Expert Member
- Feb 2, 2025
- 8,442
- 10,464
Yeah I got youSasa Harald Bluetooth alikuwa mfalme aliyeunganisha makabila/watu kule Norway, Denmark nk kwa ufani mkubwa. Baada ya teknolojia hiipya katika karne ya 20 kushabihiana na hiki kilichofanywa na bwana Harald, ndipo likaitwa kwa jina lake (Bluetooth).
Are we together?
Haya nenda kalale kesho shule (tuition).Yeah I got you
Nililala baada ya mechi ya kina goat wa mchongoHaya nenda kalale kesho shule (tuition).
Baba yako naangalia World Cup 😎
Anhaaa! Hapo sawa, tukamshuhudie Saka akigawa asisti kama njugu.Nililala baada ya mechi ya kina goat wa mchongo
Na bado!!Wakamaria Portugal katuweza leo
Yaan hii n trump.world cup
Mwendo wa surprise tu aisee
Kabla hujatandika mkeka yakuoasa unywe maji ya upako ama keki ya upako.Mpaka tuhaareee aiseee balaaaa
Ni tabia mbovu tu,Vipi lugha ya muungano wetu Tanganyika na Zanzibar unaionaje
Kawaida hiyo.