Je, ulikuwa unajua talaka ya Kiislamu kisheria inakua bado haijavunja ndoa?

Atukuzwaye

Senior Member
Joined
Oct 5, 2026
Posts
191
Reaction score
250
Talaka ya Kiislam kama inavyotambuliwa na Kifungu cha 107(3) cha Sheria ya ndoa ni ushahidi kuwa ndoa imevunjika pasi kurekebisha lakini haivunji ndoa kisheria kwani mamlaka ya kuvunja ndoa yako kwa mahakama.

Hivyo unaweza kuwa umetalakiwa kihalali kwa dini na imani ya Kiislam lakini Kisheria wewe ni mke halali.
Your browser is not able to display this video.
 
Wanandoa tunaandamwa siku za hivi karibuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…