Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

Je, ulimwengu una mwisho? Bonus question: What is nothing?

Kama huna majibu ya maswali haya, Ulijuaje kuna Mungu?

Hii conclusion ya kwamba Mungu yupo uliipata kutoka kwenye utafiti upi?
ujuzi wa uwepo wa Mungu kwangu unatokana na imani na ushahidi wa kimazingira wa vitu vinavyoonekana kwa jinsi vilivyopangiliwa kwa ustadi napata hitimisho kuwa fundi stadi aliyefanya yote haya ni Mungu tu.

Huo ushahidi wa uwepo wa Mungu kwenye uwanda wa imani, hauwezi kunielewa kama haujapata uzoefu huo.
 
Na kwa jinsi ulimwengu unavyotanuka kwa kasi kuna uwezekano vizazi vinavyikuja wakawa wanaona galaxy za karibu na wasione zaidi ya hapo au vizazi vilivyopita walikuwa wanaweza sayari za karibu kwa macho
 
Kila mahali ndo Sayansi gani? Sayansi gani yemye kipimo cha kila mahali?
Huko anapopaita kila mahali ndiyo msingi wa mada hii kuwa pana extend hadi wapi? je kuna limit ya mahali..what lies beyond huo mwisho? Is it nothingness? If yes, how?

Huko anapopaita 'kila mahali' hata yeye hawezi kupathibitisha..itabaki imani tu kuwa papo ila hawezi kuthibitisha.
 
So lazima tukubali kuwa it's not scientific explanation. Mana sayansi msingi wale ni empirical
 
Since we are going multi planets, and eventually multi universe. Ipo Siku jibu litapatikana ya hizo theory zote.

From Martial Art/Wanaamini kuna miungu mingi kutokana jinsi mtu anavyoweza kuongeza uwezo na kupita stage/rank Moja baada ya nyingine. God/Strong man can create worlds by condensing chaotic energy! In different planes of reality.
 
ujuzi wa uwepo wa Mungu kwangu unatokana na imani na ushahidi wa kimazingira wa vitu vinavyoonekana kwa jinsi vilivyopangiliwa kwa ustadi napata hitimisho kuwa fundi stadi aliyefanya yote haya ni Mungu tu.

Huo ushahidi wa uwepo wa Mungu kwenye uwanda wa imani, hauwezi kunielewa kama haujapata uzoefu huo.
Kuamini unaweza kuamini hata uongo kwa kigezo cha imani.

Sasa, Tutahakikisha vipi kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli na si uongo.

Unathibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli na si uongo?
 
Kwa Hadi Sasa tulipo kiutaalamu majibu hayawezi kukamilika, lazima majibu yatoke kutokana na jinsi tulivyo kiteknolojia Hadi hivi Sasa, Bado sisi ni wageni kabisa wa sayari yetu, hata dunia yetu Bado sana Kuna chungu ya mambo hatujayamaliza hivyo Kwa kuwa Bado tupo kwenye hatua ya kuzidi kutambua swali Hilo halina majibu yaliyokamilika Sasa basi kutokana na swali Hilo nadhani tutazidi kuchambua na kuibua Kwa undani mada nyingine ndogondogo zitakazoweza kuzidi kutupwa mwaga.

Sayari yetu ni kijisayari kidogo sana, hivyo tuna kazi kubwa ya kujua mabilioni ya sayari, kwanza sayari za karibu tu Bado hatujazama ndani kabisa, unajua kinachowatia hofu mabwana wakubwa ni Nini?, pale ambapo binadamu wote watakuja kufahamu kwamba Kuna sayari nyingine nyingi kama vile dunia yetu na wakati huo huo uwezo wa kuzifikia ni rahisi, unahisi Nini kitatokea?, mifumo iliyotengenezwa duniani itakuwaje?, ndio maana Kuna mambo unaweza Dhani yanaenda taratibu lakini kumbe Kuna watu washafika mbali tayari lakini je watu au mataifa yako tayari kuukabili Ukweli mchungu?.
 
Kuamini unaweza kuamini hata uongo kwa kigezo cha imani.

Sasa, Tutahakikisha vipi kwamba imani yako ya uwepo wa huyo Mungu ni ukweli na si uongo.

Unathibitishaje kwamba imani yako ya uwepo wa Mungu ni ukweli na si uongo?
Hiyo dhana ya kitu kuwa ukweli au uongo wewe unaielewaje ili nijue kama imani yangu inaweza kuingia kwenye hizo parameters zako.
 
Hiyo dhana ya kitu kuwa ukweli au uongo wewe unaielewaje ili nijue kama imani yangu inaweza kuingia kwenye hizo parameters zako.
Ili kitu kiwe ukweli lazima uwepo uthibitisho na ushahidi wa kitu hicho.

Ili tukifanya uhakiki, tupate uthibitisho wa kitu hicho.

Sasa wewe Thibitisha uwepo wa Mungu na si imani yako tu.
 
Kwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho?

Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue hakuna maisha nje ya bara lao na wamezungukwa kote na maji tu.

Walipotengeneza meli wakajua kumbe Kuna mabara mengine ila dunia ndiyo mwisho. Walipogundua telescope wakagundua kumbe tupo ndani ya solar system iliyo ndani ya galaxy, galaxy Ina nyota zaidi ya Billioni 400.

Na bado galaxy tulizoziona ni zaidi ya trilioni 2 kwenye observable universe.

Key word ni Observable. Observable haimaanishi kwamba ndiyo mwisho was uwezo was vifaa tulivyo navyo kuona. Sio uwezo wa Bali ndio mwisho wa wigo tunaoweza kuona.

Maana nje ya hapo ulimwengu unatanuka Kwa Kasi kubwa kuliko spidi ya mwanga. Kwahyo mwanga wa hizo nyota kamwr hauwezi kutufikia.

Hence inaitwa unobservable universe. Yani hata tupewe miaka milioni ya teknolojia hatuwezi kupaonaa.

Lakini tuachane na uwezo wa kuona au kutokuona Leo swali langu ni la kifilosofia zaidi, je ulimwengu una mwisho?

Kama mwisho haupo inawezekanaje? Yani ulimwengu uendeleee milele na milele bila kubwa na ukomo?

Ina maana hauna kati pembeni Wala juu? Na kama Kuna mwisho, nje yake Kuna Nini?

Je, kuna utupu TU (space)? Maana hata hicho ni kitu. Kama Hamna kitu, what is Nothing? Is nothing possible?

Kama hakuna kitu na ukasimama kwenye ukingo wa ulimwengu, ukiamua kwenda huko nje itawezekana?

Kitu kwenda kwenye kusiko na kitu?

Kuna baadhi ya wanafizikia wanaamini ulimwengu ni kama mpira, kwamba hii spacetime tunayoishi imecurve Kwa degree ndogo sana na inatengeneza mzunguko kama mpira/yai.

Kwahiyo ukisafiri Kwa kunyooka baada ya mda mrefu karibia milele utajikuta umerudi ulipoanzia. Lakini hiyo siyo solution ya swali langu, maana litabaki palepale; nje ya huo mpira Kuna Nini?

Na labda ukitoka nje ya ulimwengu ukasafiri mbali sana utakutana na ulimwengu mwingine. Lakini Hata kama Kuna limwengu nyingi nje yake Kuna Nini?

Wazee wa multiple universes, Schrodinger's cat mnasemaje? Multiple timelines zinawezekanaje?

Au ulimwengu mzima upon ndani ya bakuli kwenye sebule ya Mungu? Hays huo ulimwengu wa Mungu hauna mwisho? Mungu ana mwisho wa upeo?

How significant are we? Maana ukizoom out ni sawa tunaishi juu ya jiwe linaloelea angani tunaloliita dunia. ila ukizoom out Hilo jiwe linakuwa kama kamchanga kadogo, kama ulimwengu (observable) ni bahari basi sisi tunaishi kwenye kamchanga kamoja kwenye ufukwe wa hiyo bahari. Na vipi tukizoom in? Kuna mwisho?

Mwanzoni wanasayansi kama Kina john Dalton waliamini mwisho ni kwenye atoms.

Baadae wakagundua hizo atoms zimeundwa na electrons protons and neutrons baadae wakagundua quarks, gluons, higgs, bosons, neutrinos nk. Nk.

Na wanazidi kugundua kadri teknolojia inavyokua. Je, Nako Kuna mwisho? Au na penyewe Kuna ukomo wa observation?

Does nothing exist? What is it?
Is it the absence of things?
Space time itself is a thing.
Does time exist when there are no things?

Huko nje ya ulimwengu Kuna muda?

Niishie hapa maana naona maswali ni mengi yasiyo na majibu.
Maswali kama haya na mada kama hizi za kufikirsha ndio tulikua tunazitafuta kwa muda sasa!
Uwezo wetu wa utambuzi na uchanganuzi na upeo wetu unatu funga linapokuja swala la mwanzo wa ulimwengu na mwisho wa ulimwengu.
Kwa kiasi chake dini imetufunga kwa kiasi fulani kushindwa kupata majibu ya tokeo la mwanadamu ulimwenguni na ulimwengu wenyewe.
 
Ulimwengu ni mfumo.. mfumo haunaga chanzo wala kikomo unless utenguliwe mana haufi. Ulimwengu ni neno linalosimama kuelezea mfumo unaomiliki hivo viatomi, sijui nyota nk. So uwepo wake unajitegemea na unasimama bila kuhusianishwa na kutegemea vitu vingine. Yani ni mhimili mkuu kama unavyosema "mungu" ambaye ni mfumo unaomiliki viumbe au vitu vingine... huwez kujua chanzo chake na hauwez kuufikiria mwisho wake
Jibu lako ndugu yangu lina mantiki kubwa sana, asante.
 
Kwa nn usigundue kitu kama una maswali fikirishi kama haya mkuu? Mbaya zaidi hata mradi wa milion 5 tu utakushinda...

Turudi kwenye mada..

Can you define the reality within the term "universe"?. What are the differences between universe and the world?

I think the world universe is beyond the term "world". Universe imebakia kwenye theoretical explanation na sijui kama ina exist. Kilichokuwa exist unachoweza kukiona ni dunia "world".

Universe kuna namna imesimama kama mfumo ambao umesimama solely. Hautegemei kitu kingine kuexist
Huyu jamaa a
Kwa kwenda juu na kushuka chini ulimwengu una mwisho?

Wazee wa zamani walijua Kijiji wanachoishi ndiyo mwisho was dunia na hakuna maisha nje ya Kijiji. Baadae maendeleo yakafanya watu wajue hakuna maisha nje ya bara lao na wamezungukwa kote na maji tu.

Walipotengeneza meli wakajua kumbe Kuna mabara mengine ila dunia ndiyo mwisho. Walipogundua telescope wakagundua kumbe tupo ndani ya solar system iliyo ndani ya galaxy, galaxy Ina nyota zaidi ya Billioni 400.

Na bado galaxy tulizoziona ni zaidi ya trilioni 2 kwenye observable universe.

Key word ni Observable. Observable haimaanishi kwamba ndiyo mwisho was uwezo was vifaa tulivyo navyo kuona. Sio uwezo wa Bali ndio mwisho wa wigo tunaoweza kuona.

Maana nje ya hapo ulimwengu unatanuka Kwa Kasi kubwa kuliko spidi ya mwanga. Kwahyo mwanga wa hizo nyota kamwr hauwezi kutufikia.

Hence inaitwa unobservable universe. Yani hata tupewe miaka milioni ya teknolojia hatuwezi kupaonaa.

Lakini tuachane na uwezo wa kuona au kutokuona Leo swali langu ni la kifilosofia zaidi, je ulimwengu una mwisho?

Kama mwisho haupo inawezekanaje? Yani ulimwengu uendeleee milele na milele bila kubwa na ukomo?

Ina maana hauna kati pembeni Wala juu? Na kama Kuna mwisho, nje yake Kuna Nini?

Je, kuna utupu TU (space)? Maana hata hicho ni kitu. Kama Hamna kitu, what is Nothing? Is nothing possible?

Kama hakuna kitu na ukasimama kwenye ukingo wa ulimwengu, ukiamua kwenda huko nje itawezekana?

Kitu kwenda kwenye kusiko na kitu?

Kuna baadhi ya wanafizikia wanaamini ulimwengu ni kama mpira, kwamba hii spacetime tunayoishi imecurve Kwa degree ndogo sana na inatengeneza mzunguko kama mpira/yai.

Kwahiyo ukisafiri Kwa kunyooka baada ya mda mrefu karibia milele utajikuta umerudi ulipoanzia. Lakini hiyo siyo solution ya swali langu, maana litabaki palepale; nje ya huo mpira Kuna Nini?

Na labda ukitoka nje ya ulimwengu ukasafiri mbali sana utakutana na ulimwengu mwingine. Lakini Hata kama Kuna limwengu nyingi nje yake Kuna Nini?

Wazee wa multiple universes, Schrodinger's cat mnasemaje? Multiple timelines zinawezekanaje?

Au ulimwengu mzima upon ndani ya bakuli kwenye sebule ya Mungu? Hays huo ulimwengu wa Mungu hauna mwisho? Mungu ana mwisho wa upeo?

How significant are we? Maana ukizoom out ni sawa tunaishi juu ya jiwe linaloelea angani tunaloliita dunia. ila ukizoom out Hilo jiwe linakuwa kama kamchanga kadogo, kama ulimwengu (observable) ni bahari basi sisi tunaishi kwenye kamchanga kamoja kwenye ufukwe wa hiyo bahari. Na vipi tukizoom in? Kuna mwisho?

Mwanzoni wanasayansi kama Kina john Dalton waliamini mwisho ni kwenye atoms.

Baadae wakagundua hizo atoms zimeundwa na electrons protons and neutrons baadae wakagundua quarks, gluons, higgs, bosons, neutrinos nk. Nk.

Na wanazidi kugundua kadri teknolojia inavyokua. Je, Nako Kuna mwisho? Au na penyewe Kuna ukomo wa observation?

Does nothing exist? What is it?
Is it the absence of things?
Space time itself is a thing.
Does time exist when there are no things?

Huko nje ya ulimwengu Kuna muda?

Niishie hapa maana naona maswali ni mengi yasiyo na majibu.
You have a logical questions, this things is beyond human understanding, ask the creator.
 
Ulimwengu uko wapi? Unaupimaje? Nani aliwahi kuuona ulimwengu?
Kuna siku nilimuuliza padre mmoja kwamba mpaka sasa kitu kinachojulikana duniani kuwa na mwendo kasi kuliko vyote ni mwanga.
Wanasayansi kwa kutumia vifaa wameweza kuona sehemu ya ulimwengu kwa mwisho wa uwezo wa vifaa vyao kutoka hapa tulipo mpaka hapo vifaa vya binadamu uwezo wake ulipo ishia ni miaka ya mwanga bilions kadhaa, ikumbukwe mwanga inasafiri km laki tatu na zaidi kwa sekunde, kwa hio laki 3 kwa sekunde moja mara dakika mara saa mara siku mara kwaka mara miaka elfu mara miaka bilioni ni muda na umbali mrefu mno

Hapo walipo ishia wanasayansi ni kwamba bado ulimwengu unaendela ila hio inayo itwa mbingu au makazi yangu yalio nje ya ulinwengu hayajafikiwa.

Swali langu kwake ni kulingana na masimulizi ya vitabu vya dini au biblia tuna miaka karibu 2000 tokea Yesu alivyo paa kwenda mbingini, kwa makadirio hayo ya muda wa kusafiri kwa mwanga hata kama Yesu alikua ana paa kwa speed ya mara milioni zaidi ya mwanga ina wezekana mpaka leo hajafika huko kunakoitwa mbingini?

Jibu lake alisema hamna mbingu wala jehanam kama sehemu bali mbingu na jehanam ni hali, pia Mungu au kinachoitwa ulimwengu halipo chini ya kifungo cha muda, muda ni dhana , ulimwengu upo kabla ya muda na muda utaisha ila ulimwengu utaendela kuwepo.
 
Back
Top Bottom