Je ulishaomba basi lisimame ukajisaidie porini?

Je ulishaomba basi lisimame ukajisaidie porini?

Rufiji dam

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2020
Posts
4,107
Reaction score
9,671
Hakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?
 
Hakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?
Tumepita Shy town alfajir tukielekea Rock city,
Tukiwa DarLux iliyolala Nzega ikitokea Dar,
Viti vya mbele yetu vya tatu kutokea nyuma walikaa Sista duu wawili na Mmoja alikuwa akilia bila msaada,
Nikamuuliza mwenzake vipi Mwenzio?
Akajibu anaumwa tumbo,
Nikamuuliza tena umemjulisha Kondakta?
Akajibu hapana, Mi nikamfuata konda na kumtaka Msaada, ila akajibu Dawa tunazo lakin hatuwezi kumpatia maana hatujui anaumwa nini,
Labda tumpatie Magnesium!!!
Nikachukua na kumpelekea ila mgonjwa akasema haziwezi kumsaidia labda gari isimame akajisaidie!!!!
Kweli bhana akasaidiwa
Aaah amerudi akanishukuru na baada ya dk kadhaa akaanza kuchati amepona
 
Ishawainikuta nimetoka mbeya naenda arusha ilikuwa ni balaa, niliomba poo tulivo maliza nyang'olo deleva kapaki chuma nikaenda kuachia kitu
Baada ya hapo nilipewa maji ya kutosha na konda tumbo lika kata
 
Abiria wengine huwa ni wasumbufu unakuta linakula kipomo hakuna mtu asubuhi tu ya saa mbili lishaulizia chips..😂 sasa hapo kwanini mvurugano usitokee! Mara kachukua embe na hapo haitoshi Mara kachukua mshikaki karanga limao mbilimbi na makande.. sasa hapo kwenye makande hapo..🤣

Mengine tumuachie Mungu na viumbe vyake..😅
 
Hakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?
Bora kama ulikuwa unakojoa tuu,ila kama ulikuwa unanya ku.utaonekana una element za uzembe
 
Kuepusha hii jamani tusipende kula asbh ya safari ni hatari
 
Sana tu kipindi naenda Mbinga kuanzisha Kilimo cha cannabis sativa

Walokole eti kwani ni aibu?
 
Back
Top Bottom