Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,107
- 9,671
Hakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumepita Shy town alfajir tukielekea Rock city,Hakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?
Bora kama ulikuwa unakojoa tuu,ila kama ulikuwa unanya ku.utaonekana una element za uzembeHakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?
Hata mimi hii huwa inanipa shida kidogo,huwa nafanya timing ile niwe comfortable...Noma sana, hata ofisini sipendi kwenda chooni mtu akiniona
Hiyo sio aibu, aibu Ni kujiharushia kwenye basiHakuna aibu mbaya kama kuomba ukajisaidie porini ukiwa kwenye Bus kitendo cha kurudi kwenye Bus abiria 59 wote macho kwako, sijui uwa kuna kosa gani?