Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

Lisa Chang

Basi bhana kipindi iko nasoma o level mbeya uku mi nikiwa natokea mkoa wa Dodoma sa kipindi icho safari ilikua ni ndefu kidogo tofaut na sikuiz na nilikua napenda sana kula kula njiani Basi nilipo fika Moro na hapa nilikua naelekea mbeya si nikanunua vitu njian nikaanza kula na kunywa kabla ya kufika iringa ( Al Jazeera) kwa ajiri ya kuchimba dawa bwana su nikabanwa na kojo , nikaenda kwa konda kumuomba simasishe chuma ili nishuke kuchimba dawa konda akagoma, Mara ya kwanza, Mara ya pili kagoma pia kwa kigezo Cha kua tulikua porini Sana na Kuna wanyama wakali Basi bwana nikae da for the third trip nilicho kifanya nikafungua kale kadirisha Cha passenger door nikatoa dushe nikamwambia nakojoa hapa dere kuona vile akasimamisha chuma so nimeshuka kwenda kukojoa mkojo utoki take almost dakika tatu nimesimama kojo alitoki Basi mkojo unakaribia kutoka dere naye ndo ananipigia honi kua twende, Basi mi nikampungia mkono ile ishara ya Kama liwalo na liwe , nilipomaliza kukojoa haibu sasa kuingia ndani ya Basi watu woote all eyes on me tangu siku ile nilikua nikisafir sinunui chakula ovyo ovyo
 
Nikiwa A-level, nilikuwa nashuka dorm kutoka prepo mida ya saa 4 usiku.

Shule yetu ni mixer.

Sasa mkojo umenibana vibaya, nikazunguka nyumba ya darasa moja nikaanza kukojoa huku mashine imesimama.

Kumbe kulikuwa na manz tena tumezoeana balaa.

Mi nakojoa zangu na yeye yupo pembeni ya kona ananiangalia na mashine yote iko nje na mwanga wa taa mkali kabisaa.

Namaliza nasikia kicheko,
Alienda tangazia wenzie mangi ana mashine kubwaa balaa.

Kesho yake napewa hongera na kila dem class [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lisa Chang ni nani hasa lakini?
 
Sitasahau primary hiyo
Nataka kuingia darasa la 5 ,mshua kanitoa shule ya kayumba na kunipeleka english medium,Sasa ile siku na fika nikaoneshwa darasa nikaenda hadi pale mlango nikaanza MIMI😛LEASE TEACHER MAY I COME IN ,MWALIMU: Come in

Sa nimeingia mule class sina dawati na kila mtu na dawati lake dah si ndo nikamfata mwalimu pale mbele nikamwambia TEACHEAR AM NOT A DESK hahahah dah
Nikiwa na maanisha mwalimu sina dawati hhh
Yaani mwalimu alitabasamu huku nyuma wanafunzi wenzangu walicheka hatari,nilikua mdg ka piriton hiyo siku.
 
Picha tafadhali!.
 
Nimeshindwa kumalizia haaaaaa! .
 
We dogo ulituchelewesha sana skuile tulikumind kinyama
 
Utakuwa wa kanda ya ziwa wewe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…