Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

huu uzi mpk nimelia....... khaaa kuna watu wana mambo aiseee! ila utotoni raha sana jamani......
 
Hebu nifufue uzi..
Nakumbuka kipindi nipo sekondari form 4 hiyo ilikuwa break time nimetoka class nimechelewa nafika canteen misosi yote imeisha ikabidi niende dukani hapo hapo canteen wanafunzi kibao hapo, nimefika pale naangaza dukani natafakari ninunue nini nipooze njaa, kulikuwa na wadada pale ndipo mmoja wapo akamwambia mwenye duka "nipe mkate mweupe" mimi nikatafakari chap mbona hiyo mikate siioni hapa? Nikadhani labda ipo kwa chini huko ndipo na mimi nikapaza sauti nikasema na mimi nipe huo mkate mweupe.
Mwenye duka akageuka na kunishangaa huku na wale wadada wakinitolea macho na kuangua kicheko mimi nikiwa sielewi nimekosea wapi, mwenye duka alikuwa ni mmama akaniuliza unajua mkate mweupe ni nini? Aisee kumbe ilikuwa ni Pedi hizi za akina dada dooh wanafunzi walicheka pale mimi nikasepa chap kurudi class aibu tele hata hamu ya kula ikakata kabisaa.
 
Loohh..pole

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee
 
Daaah!!!
 
Uzi unafurahisha na kufunza pia.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Nipo form three,Nina miaka 16,bibi yangu mdogo mjuaji juaji nimemsindikiza hospital flani THI ya Moyo kule leaders,tumekaa kwenye foleni na watu wazima....mara story story bibi ananitambulisha huyu mjukuu wa dada yangu anasoma chuo kikuu Mlimani mwaka wa pili👀👀👀👀watu heeee mbona kasoma mdogo sana,!!!baba Mmoja hongera Binti unasoma kozi Gani??najua Sasa Sasa hata Hizo kozi za huko chuo zaidi ya Sheria??jamani nilihisi nimepigiwa rungu la kichwa yule bibi anazugazuga Mimi Niko nashangaa shangaa Sina Cha kujibu sitasahau ule muaibiko jamani,yule bibi yule aliniweza🥺
 
Oyaaaa[emoji1][emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yako alikuwezaa haswaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yako alikuwezaa haswaa.
Nilichanganyikiwa aiseee😂😂😂😂 imagine najua zangu HKL na HGL halafu bibi anakuletea mambo meusi
 
Siku ya kwanza kugegeda nilimwaga mbegu kibao baada tu ya kuingiza hata tako moja sikupiga! Huku miguu inatetemeka!

Yule manzi akaniambia ndo nini hii? Will never forget na uhusiano wetu uliishia hapo...long time ago.
 
Sijawahi kuaibika sehem mbaya siku zote niko low-key huwa sina tabia za ujuaji au kupenda kuoekana kwenye crowd , yani hata niwe nafaham kitu na nione kuna mtu anapotosha huwa simrekebishi kama mazingira yanalazimisha kusikiliza na mimi namsikiliza alafu nafata mishe zangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…