Je, ulishawahi kuaibika katika mazingira mabaya?

huu uzi mpk nimelia....... khaaa kuna watu wana mambo aiseee! ila utotoni raha sana jamani......
 
Hebu nifufue uzi..
Nakumbuka kipindi nipo sekondari form 4 hiyo ilikuwa break time nimetoka class nimechelewa nafika canteen misosi yote imeisha ikabidi niende dukani hapo hapo canteen wanafunzi kibao hapo, nimefika pale naangaza dukani natafakari ninunue nini nipooze njaa, kulikuwa na wadada pale ndipo mmoja wapo akamwambia mwenye duka "nipe mkate mweupe" mimi nikatafakari chap mbona hiyo mikate siioni hapa? Nikadhani labda ipo kwa chini huko ndipo na mimi nikapaza sauti nikasema na mimi nipe huo mkate mweupe.
Mwenye duka akageuka na kunishangaa huku na wale wadada wakinitolea macho na kuangua kicheko mimi nikiwa sielewi nimekosea wapi, mwenye duka alikuwa ni mmama akaniuliza unajua mkate mweupe ni nini? Aisee kumbe ilikuwa ni Pedi hizi za akina dada dooh wanafunzi walicheka pale mimi nikasepa chap kurudi class aibu tele hata hamu ya kula ikakata kabisaa.
 
Loohh..pole

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
😂😂😂😂
 
Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ilikua form3 majira ya asubuhi nimegonga chai na kiporo cha makukuru then tumeingia kupiga test, basi tumejipanga fresh kilamtu na kiti chake, mm npo katikati ss ile tumegaiwa karatasi za maswali tumbo likavuruga kidogo afu nkaskia kama kigesi chembamba kimegonga hodi, kuangalia kulia na kushoto raia wakobize wanaperuzi maswali, nikawaza kwan nani atajua bhana pasipo iyana nikapumua kibingwa[yusuphhh], duh sikujua nilichofanya kilikua na maajabu gani mpakapale nilipoona darasa zima wakiongozwa na msimamizi wakitokanje speed huku wakipiga kelele na mm nikafuata mwisho sikumbuki walichosema lkn nlisikiawakitaja jinalangu huku wakicheka sana, duh huwezi amini nlijikuta natabasam maskini mm
NB:fikiri mara mbili kabla hujaachia shuzi la kimya kmya
Aiseeee
 
Form 4 hyooo.mwana kaniambia twende tukamsalimie maza ake kariakoo.tukaenda.kivumbi ilikuwa mlangoni.kuvua viatu sitaki.maana vinanuka balaa.yaani sijavua lakini harufu naisikia.nikaingia navyo sebuleni kiubishi ubishi.bahati nzuri kulikuwa na tiles tu.ila shuhuli waliipata.
Daaah!!!
 
kuna binti aliagiza mabia bar kwa kunikomoa .sasa mfukoni nikawa na buku ten tu bill ikaletwa kama 35 elfu.enzi hizo ni ela mingi. nikavizia kaenda toilet nichukue handbag yake nichomoe ela tushare pamoja bill.akanifuma naingiza mkono kwenye mkoba.nilipata aibu ya mwaka.nafwaaa
🤣🤣🤣🤣
 
Nipo form three,Nina miaka 16,bibi yangu mdogo mjuaji juaji nimemsindikiza hospital flani THI ya Moyo kule leaders,tumekaa kwenye foleni na watu wazima....mara story story bibi ananitambulisha huyu mjukuu wa dada yangu anasoma chuo kikuu Mlimani mwaka wa pili👀👀👀👀watu heeee mbona kasoma mdogo sana,!!!baba Mmoja hongera Binti unasoma kozi Gani??najua Sasa Sasa hata Hizo kozi za huko chuo zaidi ya Sheria??jamani nilihisi nimepigiwa rungu la kichwa yule bibi anazugazuga Mimi Niko nashangaa shangaa Sina Cha kujibu sitasahau ule muaibiko jamani,yule bibi yule aliniweza🥺
 
Mimi nakumbuka nipo chuo Iringa wakati wa group presentations si unajua tena ushapiga jumba lako jeusi ili uongezee marks walau, sasa shughul ikawa tunataka kupanda group zima stejini lecturer akasema no need apande tuu mmoja...straight akanipoint mimi na hata kazi nlikua siijui inafananaje 🙂
Macho yalinitoka na lisuti lako kijasho kwa mbali..basi ile hofu kupanda stejin nikaikosa ngazi nlibiringita hadi chiniiii..kuficha aibu wallah sikuinuka nkajifanya kuzimia!!!
...that was my embarrassing moment ever
Oyaaaa[emoji1][emoji1]
 
Nipo form three,Nina miaka 16,bibi yangu mdogo mjuaji juaji nimemsindikiza hospital flani THI ya Moyo kule leaders,tumekaa kwenye foleni na watu wazima....mara story story bibi ananitambulisha huyu mjukuu wa dada yangu anasoma chuo kikuu Mlimani mwaka wa pili[emoji102][emoji102][emoji102][emoji102]watu heeee mbona kasoma mdogo sana,!!!baba Mmoja hongera Binti unasoma kozi Gani??najua Sasa Sasa hata Hizo kozi za huko chuo zaidi ya Sheria??jamani nilihisi nimepigiwa rungu la kichwa yule bibi anazugazuga Mimi Niko nashangaa shangaa Sina Cha kujibu sitasahau ule muaibiko jamani,yule bibi yule aliniweza[emoji3064]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bibi yako alikuwezaa haswaa.
 
Siku ya kwanza kugegeda nilimwaga mbegu kibao baada tu ya kuingiza hata tako moja sikupiga! Huku miguu inatetemeka!

Yule manzi akaniambia ndo nini hii? Will never forget na uhusiano wetu uliishia hapo...long time ago.
 
Sijawahi kuaibika sehem mbaya siku zote niko low-key huwa sina tabia za ujuaji au kupenda kuoekana kwenye crowd , yani hata niwe nafaham kitu na nione kuna mtu anapotosha huwa simrekebishi kama mazingira yanalazimisha kusikiliza na mimi namsikiliza alafu nafata mishe zangu
 
Back
Top Bottom