Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Nimekumbuka kuna mtu aliwahi sema kama hivi,, lakini ilikuwa ni kuhusu msamaha..

Ila ni kweli you just have to enjoy the love maana ya moyoni mwa mtu hayakuhusu,, sema basi tu mimi sijui kwanini huwa nawaza sana au labda ni vile sipendi kuwa fooled..
Hapana kwakweli. Ukinipenda naamini wanipenda and i enjoy the love. Kama wapretend utajua mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…