Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka kumuacha akakuwahi... Inaumaga hiyoMm nilikutana na kidem fulan tukawa tunapigana shoo kila nikienda town nachukua lodge namtandika naunganisha bao, aisee nilimfaidi sanaaa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]. Basi nilivyo ona nimemla vya kutosha ikanibidi nimwambie kuwa nina mke kama utakubali kuendelea na mm fresh ila nitakujari, dah! Baada ya kumwambia hvyo akaanza kuniletea uboya sijui alikuwa na back up kitambo nikawa nakuta anaongea nae mara mm akaacha kabisa kunitafuta na mm nikaacha kumtafuta aisee.
Nilikuwa sina mpango wa kukaacha kapuuz kale kalikuwa kapole mpk kakaniteka, ila kwakuwa kaliona kanipge chini namm nikaliunga juu kwa juu.Ulitaka kumuacha akakuwahi... Inaumaga hiyo
🤣🤣🤣🤣Rafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki
nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki
mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui
yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha
kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine
akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi
kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi
mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote
watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana
ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile
ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
Mwamba alipatikana😂.🤣🤣🤣🤣
Mwamba mbona una matukio sanaKuna binti nmekutana nae tukaanzisha mahusiano baada ya cku alikuja kunitembelea ninapoishi, sikufanikiwa kula tunda ila tulikiss sana nilimshawishi sana nimle alikazia bas baada ya mda aliaga na kuondoka
Bas tangu alipotoa mguu pale hakunitafuta tena mimi ndo nikawa naleta shobo na kujibebisha kwingi Lakin ushirikiano ukawa mdogo, juzi Kati hap akanitext niache kumtafuta. Inanifikilisha sana ila alf nilishamuelewa mtoto
Daah kapigika haswaaMwamba alipatikana😂.
Mwamba ulizama mazimaRafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki
nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki
mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui
yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha
kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine
akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi
kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi
mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote
watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana
ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile
ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
Mkuu mpaka weweEbu tupe ushauri haya mapenzi tuna yakwepa vipi, maana dah yananipelekesha kweli
Hapo unaonekana bonge la fala aiseeUmenikumbusha kuna kascreenshot nilikuwa nacho hapa cha mwaka jana mwezi wa3... imetokea kapo mpaka leo maana hii simu huwa siishiki mara kwa mara maana nina simu nyingne better zaidi, nilipoona huu uzi nikarusha na bluetooth chap kwny PC ili nishee na nyie
View attachment 2578308
kwa kweli, i was lost by the time (angalia izo chats na time zake)
Mpaka sasa mkuuLoneliness is my solitude 😊😒
Hujapona tyuuh? PoleeeLoneliness is my solitude [emoji4][emoji19]
Bado ndugu yangu 😔
Duuh aisee polee sana! Hope utakua sawa soon.Bado ndugu yangu [emoji17]