Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

love image jpeg.jpg
 
Mm nilikutana na kidem fulan tukawa tunapigana shoo kila nikienda town nachukua lodge namtandika naunganisha bao, aisee nilimfaidi sanaaa [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]. Basi nilivyo ona nimemla vya kutosha ikanibidi nimwambie kuwa nina mke kama utakubali kuendelea na mm fresh ila nitakujari, dah! Baada ya kumwambia hvyo akaanza kuniletea uboya sijui alikuwa na back up kitambo nikawa nakuta anaongea nae mara mm akaacha kabisa kunitafuta na mm nikaacha kumtafuta aisee.
 
Ulitaka kumuacha akakuwahi... Inaumaga hiyo
 
Niki pata mda tashusha kisa changu na binti mmoja. Ila in a short way ni wakati tunaanza mahusiano nilkua deep sana yani sanaa nazani Ali lijua ilo basi akawa ana fanya vitu aki jua me siwezi fanya chochote .Na me ni mtu ambae naweza kukuangalia tu ila siku niki decide ni nme decide kwel, Hata ashuke nani hawezi badili maamuzi yangu..

At last nka back down na icho ndo kipindi kumbe na yeye alikua ame anza kua deep .yani tuka jikuta wakati me niko deep ye hayuko deep ..na wakati ye yuko deep me sipo tayari kabsa .. nili mpotezea hakuamini kama ni mimi hadi leo still ana sumbua but me sha fanya maamuzi na huwa sibadili maamuzi yangu ata kama niya kuumiza
 
Rafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki

nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki

mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui

yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha

kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine

akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi

kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi

mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote

watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana

ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile

ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
🤣🤣🤣🤣
 
Kuna binti nmekutana nae tukaanzisha mahusiano baada ya cku alikuja kunitembelea ninapoishi, sikufanikiwa kula tunda ila tulikiss sana nilimshawishi sana nimle alikazia bas baada ya mda aliaga na kuondoka
Bas tangu alipotoa mguu pale hakunitafuta tena mimi ndo nikawa naleta shobo na kujibebisha kwingi Lakin ushirikiano ukawa mdogo, juzi Kati hap akanitext niache kumtafuta. Inanifikilisha sana ila alf nilishamuelewa mtoto
Mwamba mbona una matukio sana
 
Rafiki sina up to moment naandika hivi sina rafiki yule wakusema naweza mwita rafiki

nina marafiki ila sio (best friends) ni marafiki tu ambao hata awe kimya mwaka sishtuki

mpenzi ilitokeaga zamani sijui ni kwasababu nilikua new comer kwenye mahaba sijui

yule dada tulitengana kama miezi kwasababu ya likizo za shule,baada ya likizo kuisha

kurudi najua bado sisi ni wapenzi kumbe mwenzangu kashatafuta mtu wake mwingine

akaniambia hatuwezi kuwa wapenzi tena labda tuwe marafiki tu,aiseee nilishamtishia hadi

kujinyonga ili tu ajue nampenda ila wapi,nikaenda kwao nikalala nnje getini usiku hadi pakakucha ila wapi

mwisho kabisa nikaona asintanie,nikaandika wosia kisha nikaenda fata sumu ya panya ya maji nikanywa yote

watu wakaniokoa kimbiza hospital nikapona baada ya pale nikapewa counselling 1 hatari sana

ikanisaidia nikaweza anza ishi kwa shida na kukubali matokeo,up to moment sirudii penda kisenge vile

ila kama ni ku force yule dada anirudie,niliforce sana hamna mbinu sijatumia.
Mwamba ulizama mazima
 
Umenikumbusha kuna kascreenshot nilikuwa nacho hapa cha mwaka jana mwezi wa3... imetokea kapo mpaka leo maana hii simu huwa siishiki mara kwa mara maana nina simu nyingne better zaidi, nilipoona huu uzi nikarusha na bluetooth chap kwny PC ili nishee na nyie
View attachment 2578308

kwa kweli, i was lost by the time (angalia izo chats na time zake)
Hapo unaonekana bonge la fala aisee
 
Back
Top Bottom