Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Yes,Mimi
hata kazini tutashirikiana na kucheka vzr tu ila sitaki mazoea kabisa mda mwingine inacost
 
No matter what you are going through don’t do this to yourself, self judgement is so poisonous, si ndio inapelekea self rejection, guilty conscious, self criticism ??
Jiambie you deserve better lakini si kujishusha hivi.
I'm not that special to deserve better
 
This comment 😢😢
Sometimes Quitting is the best Option miss Paul
 
Kuna hali naipitia sasaivi ni ya hatari sana, kuna mtu yupo akilini mwangu ananitesa sana.
Anyway acha tuone itakuaje..mleta mada umenigusa kishenzi ani
Tatizo nini mkuu twaweza tupo hali sawa😔😔😔
 
Mimi iko tofauti, kwa miaka takribani 9 the guy alikua akinisihi nibaki maishani mwake lakini haikuwahi kuwa vile alivyotamani iwe. Nilikuja kukata mawasiliano kwa makusudi aweze kuendelea na maisha yake. J kokote uliko nakuwish maisha marefu ulikua mwanaume mwema lakini moyo wangu ulikosa hisia za kweli juu yako.
 
Asee
 
Kwanini hamthamini mtu akiwapenda kwa dhati
 
Weee si tumeachana miaka ile tulivyomaliza chuo, sijui yule msela amekuwowa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…