B R A C E L E T
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 2,357
- 4,390
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pendo hauna umwamba broo ukiisha umeisha tu mwishowe utatafuta gunia za mkaaUpendo ukishapungua uendelew kufosi??
Sometimes anakua anakupa red light kua mwisho umewadia
😂😂😂😂
hata kazini tutashirikiana na kucheka vzr tu ila sitaki mazoea kabisa mda mwingine inacostKwa upande wa marafiki.
Wakati nasoma kipindi hicho, nilikua na rafiki yangu ambaye nilikua namjali sana, tulikua tunaishi wote nyumba yetu hii ya kwao inafuata mbele,
Huyu rafiki tukifika nyumbani ni marafiki wakubwa tu, ila tukifika shule urafiki hakuna tena anakuona huna maana tena, anakuwa na marafiki zake wengine.
kipindi cha utoto nilidhani sitoweza kusurvive peke yangu bila ya mtu yoyote pembeni,
Ila nikaja gundua kwamba mtu ukimjali sana anakuona huna maana, anajua wewe huna cha kufanya bila ya yeye, lazima akuendeshe, lazima akudharau, lazima akupuuze.
Nilichokifanya nikajijengea msimamo kwamba "naweza kufanya chochote bila ya yoyote, yaani mimi na akili yangu tu nitaweza kufanya chochote kile" nikaanza kujiamini, japo nilitambua haitokua rahisi.(na ni kweli haikuwa rahisi)
*Nilianza kujipenda mwenyewe kwamba mimi ni wa muhimu kuliko yoyote yule mimi ni wathamani sana, sitokuja kujidharau tena, so haitotokea tena niumie sababu ya mtu mwingine
*nitafanya kila njia nipate Amani/furaha na Nitafanya kila njia furaha/amani yangu isipotee (japo sio rahisi pia)
*Sitosikiliza yoyote na hakuna atakaye badirisha msimamo wangu, sababu binadamu wengi ni wanafiki.
*Familia yangu ndio marafiki pekee wa kweli japo kila mtu yuko mbali na yake.
Na mpaka leo sijabadirika sina rafiki wa kweli zaidi ya salamu kila mtu na yake,
Hata wale niliosoma nao wachache ndio huwa tunaongea kwa bahati mbaya mwaka mara 1.
Maisha yangu ni
Job
Movies
Music
Books
Games
TV shows nk au kushinda kwenye magroup ya introverts wenzangu.
Unaweza dhani mimi ni alien ila ndio maisha yangu na hakuna kilichoaribika, na mambo ya kuumizana nilishayasahau,na furaha muda wote ipo nami, na sina mpango wa kuishi kama binadamu wengine, nikaishia kuumia tu.
Kiufupi haitokuja kutokea hiyo kitu.
Mtanisamehe kwa Uzi mrefu.
"Magic is believing in yourself if you can do that, you can make anything happen".
Umemaliza vizuri.Nimejikuta nauchagua huu uzi kuwa bora kwangu kwa mwaka huu, kuna mengi ya kujifunza na wengi wameongea vilivyo vya kweli, chai kama zipo ni kidogo sana.
Sijui ilikuwaje sikuuona mapema!!
Sent using Jamii Forums mobile app
I'm not that special to deserve betterNo matter what you are going through don’t do this to yourself, self judgement is so poisonous, si ndio inapelekea self rejection, guilty conscious, self criticism ??
Jiambie you deserve better lakini si kujishusha hivi.
This comment 😢😢Maisha hayana kanuni, ukimpenda mtu wako pambana hadi umpate, hata asipojibu msg pambana. Mwanaume "kupambania kombe" eti. Usikubali kushindwa juu ya kitu unachokitaka kirahisi.
Sio kwenye mahusiano tuu, hata kwenye maisha kiujumla. Pambana , usiseme tuu kama riziki ni yangu ni yangu tuu na itakuja. Utasubiri riziki ijilete hadi mwisho wa dunia.
PoleKuna hali naipitia sasaivi ni ya hatari sana, kuna mtu yupo akilini mwangu ananitesa sana.
Anyway acha tuone itakuaje..mleta mada umenigusa kishenzi ani
AseeMimi iko tofauti, kwa miaka takribani 9 the guy alikua akinisihi nibaki maishani mwake lakini haikuwahi kuwa vile alivyotamani iwe. Nilikuja kukata mawasiliano kwa makusudi aweze kuendelea na maisha yake. J kokote uliko nakuwish maisha marefu ulikua mwanaume mwema lakini moyo wangu ulikosa hisia za kweli juu yako.
Kwanini hamthamini mtu akiwapenda kwa dhatiMimi iko tofauti, kwa miaka takribani 9 the guy alikua akinisihi nibaki maishani mwake lakini haikuwahi kuwa vile alivyotamani iwe. Nilikuja kukata mawasiliano kwa makusudi aweze kuendelea na maisha yake. J kokote uliko nakuwish maisha marefu ulikua mwanaume mwema lakini moyo wangu ulikosa hisia za kweli juu yako.
Weee si tumeachana miaka ile tulivyomaliza chuo, sijui yule msela amekuwowa.Mimi iko tofauti, kwa miaka takribani 9 the guy alikua akinisihi nibaki maishani mwake lakini haikuwahi kuwa vile alivyotamani iwe. Nilikuja kukata mawasiliano kwa makusudi aweze kuendelea na maisha yake. J kokote uliko nakuwish maisha marefu ulikua mwanaume mwema lakini moyo wangu ulikosa hisia za kweli juu yako.
Sikua na hisia na yeye kabisa sikuona sababu ya kuendelea kumtesa wakati angeweza kupata mwingine na akapendwa tofauti na kwangu. Huwa sipendi kumuweka mtu ili hali najua kabisa napoteza muda wake huwa naamua tu kuwa mkweli.Kwanini hamthamini mtu akiwapenda kwa dhati