Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Hivi nitajuaje kwamba mtu anajipenda?
Mapenzi hufungamana na huruma na kujaliana....

Kujipenda kupo kama kujiheshimu...

Mwanamke kuwa na wanaume wengi huko kutokujipenda.

Kuwa tayari kwa lolote ili usimkose mtu fulani uko pia kutojipenda.

Kwakifupi ni ile Hali ya kutojihurumia kwa ajili ya mtu au watu fulani ndo kutojipenda....yaani unaumia ili umridhishe mtu
 
Nime bold hapo,yaani mkuu Da'Vinci mada zako huwa zina ni inspire sana,kuna baadhi ya vitu unavyoelezea ni uhalisia wa maisha yangu kabisa,Siupi nafasi moyo wangu kuumia kwa mtu ambaye inawezekana kabisa labda nililazimisha awe wangu kwa kutokujua kwangu,God bless you for the wise words...
 
Thanks so much mate, Stephot
I believe to the power of destiny that bring people together.. Automatically.
If you destined to someone will come and stay with you forever...no matter what it takes.

Much bless to ya too mate 🙏💪
 
How did you manage to..? Miezi minne bika kumtafuta ukiyempenda.!

Kweli nimeamini I guide other to the treasure I can't afford
 
 
Daaah nimewahi hiki kitu force lakna mwishoni nimepotezea na niko alone sas
 

Dah mkuu uzi wako umenigusa sana maana umeniongelea mimi kwa 100%. I had this girl nilifanya kila nlichoweza nilimpenda sana tena sana for years but with no avail. Ilifika mahala hivi recently nkamwambia ukweli tu now i am leaving naomba uendelee na mambo yako na mm niendelee na please usinitafute ili ni move on kwa amani. Tukakubaliana vizuri.

Cha ajabu huwaga ananitafuta sometimes... but simpi ile attention kama ya zamani. Ingawa bado naumia but it’s better maumivu sio makali kama yale niliokua napata nilivokua najaribu kumfanyia kila kitu just to show that i love her.
 
Hongera sana kuvuka hicho kiunzi ni ngumu sana kwa mtu uliyempenda kwa dhati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…