Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Mtoto bado yupo nae nafikiri, amemuita Taraj. Alinitumia picha ya chalii na baada ya hapo sijawahi kumpata tena hewani wala alikokua anakaa. Mimi nilioa mama wa mwanangu wa kwanza, yeye sina taarifa zake
Imepita muda gani sasa? 🤔
 
Imepita muda gani sasa? [emoji848]
Tunauelekea mwaka wa tatu sasa, nakumbuka mara ya mwisho kuwasiliana nae alinitafuta yeye WhatsApp number ambayo haijawahí kupatikana mpaka leo. Alinitumia picha ya chalii na kuniambia kampa hilo jina Taraj, pia kuniambia kuwa sitokuja kuwaona tena! Baada ya hapo sijawahi kumpata hewani wala pale alipokua anakaa, sijui kama yupo hapa au mkoa, sijawahi kumuona tena
 
I can't breath kwa kweli 😢😢🤔
So how do you feel 😧😧😧
 
Hongera sana next time usijisumbue kusoma visivyoeleweka

Ww ni mkorofi nishakuona ngoja nikupotezee mana unamambo ya kishamba mtu anakwambia yaishe unaendelea jibu jibu tuu huwo ni ujima na gubu lisilo na msingi...sikujibu tena
 
Usijibu kwani umelazimishwa[emoji57][emoji57]..na bado ukajibu quote ya mshamba..makubwa haya..aliyeanza kumquote mwenzie Nani..mpuuzi Nini mxiuuuu

Unataka upigwe Bun???wewe endelea kunitusi tuu Mods naomba mumpige bun ya mwaka huyu mmama amenitusi mimi Mpuuzi kweli ivi unalingana na mimi kiumri wewe mpaka unitusi mbona mimi sijakutusi una mambo ya kijima sana jealous hasira zisizokuwa na msingi wowote...
 
Binafsi ninahisi nina Phobia ya kuogopa kua attached kwa mtu fulani, Maana najua tu mwanzo atanionyesha wema na upendo ila mwisho ndio atanionyesha upande wake wa shillingi..mmhh
Ila wanasema maisha ni kutake risk, if you can't take you loose a chance
Mkuu nahisi mimi pia ninayo hiyo phobia,

yaani mtu anapoanza kuonesha kutaka kuwa karibu na mimi naogopa mnoo kumkaribisha maishani mwangu coz nakuwa siko sure na kitakachotokea baada ya huo ukaribu wetu,

Hivi hiyo imekaaje mkuu? kuna namna ya kuiondoa hiyo hali?
 
Sidhani kuna namna mkuu ya kuondoa, maana hua ni psychotic oriented cha msingi ni kua makini na mtu unatetaka kua naye karibu. Maana wengine Wanakua real kwako basi tu hiyo situation inakufanya umpoteze kwa kuogopa.
Vipi weee hua yakutokeaje?
 
sijalielewa swali lako vizuri mkuu,em nidadavulie nikujibu
 
On Sasa bado waniquote na ulisema haujibu Tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...jealous kwa lipi mbabu wewe..umri vikanyagio vyangu...alafu siyo bun ni ban kizee weh

[emoji3][emoji3][emoji3]Amani bac au vipi kiroho safi Yaishe tusiwe kama Wapalestina na Waisrael...Amani itawale amani iwe miongoni mwetu..
 
I bet you're Introvert right? Friends circle yako ipoje? Unahandle vipi swala la kufanya mtu uliyempenda sana kibaki maishani mwako
mkuu mi nashindwa kujielewa hasa nafall wapi,

maanake mi sio mtu wa outing sana social gatherings sana,hata nikienda kwenye events naenjoy Zaidi nikiwa na watu niliowazoea,

am not easy to make new friends and people to befriend me,lakini pia napenda sana kukaa home,kula kulala,kuangalia series,kusikiliza muziki,kama ni marafiki basi waje home tupige stori tupike chakula kizuri tule basi,sipendi kutembea,ila ukinikuta na kampan ya walionizoea hutoamini macho yako,sa sijui mi nafall wapi hasa mkuu,au mi ni nusu nusu?

kuhusu kumfanya mtu nayempenda sana abaki maishani mwangu huwa nafanya jitihada Fulani za kiasi,like kumwelezea kama nimeona dalili tofauti au kumweleza kuna kitu anafanya sipendi na kujitahidi kumrudisha then nikiona ndo kwanzaaaa haeleweki,huwa namkatia tamaa japo naumia mnooo,nalia sana lakini nakuwa sina namna tena and i cant keep on begging the person to stay in my life,so huwa nalet go baada ya kuwa nimefanya some jitihada za kumrudisha,if they don't work out nalet go with too much pain and tears, huwa inakuwa mbaya Zaidi kama huyo mtu yupo kwenye macho yangu kila siku,itanichukua muda sana kumove on na kuwa kawaida,ila kama yuko mbali at least its much easier to let go thats it mkuu.

sijui kama nimejibu swali lako mkuu maanake vichwa vimeshajamu siku hiz
 
Back
Top Bottom