Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Binafs yangu nikimpenda mtu nampenda kwa miguu yote na kiwiliwili yani nazama kabisa na hua siweki zile fikra za kuachana na pia hua sikubali kuachwa kirahis pale napo mpenda mtu
So post yako yaeza kuwa na mantik fulan kwako lakin nikwambie tu kitu kimoja mapenzi hayashauriki na pia hayana formula[emoji41]
 
Upo kama mimi tu mkuu.. Napenda kupenda mtu mmoja tu. Nisione nisisikie
 
Muache, jifunze kuishi bila yeye,baada ya muda utazoea.
Pia kama unampenda sana toka ndani basi utathimini hisia zake kwamba haziko kwako.
Vipi ukiea umempenda saaana toka ndani
 
Kuna kupambania na kuna kulazimisha.
 
Kosa kubwa ni kuweka mategemeo yako KWA mwanadamu, dunia inabadilika,watu wanabadilika tuko kwenye process Muda wote ni kama tunaevolve hivi,Tunaingia na kutoka kwenye mahusiano constantly,ukiingia ukakuta uhusiano haufullfill requirements zako unatoka,unaenda pengine na pengine,process nzima iko centered kwenye needs zako wewe unayeingia na kutoka,ambazo hizo needs unakuta tu ni ishu fulani fulani personal(self centered)
Na kibaya zaidi kila mmoja wetu anaevolve ,KWA kifupi ni kwamba HAKUNA BINADAMU ASIYE NA MIZINGUO including wewe mzee baba mleta post,unaweza kuwa rafiki mzuri sana KWA watu fulani na wewe huyohuyo ukawa worst friend KWA watu wengine, tuko kwenye web ya continuous PLEASURE na DISSAPOINTMENTS na hizi pleasure na dissapointment wakati mwingine sisi ndio vyanzo wakati mwingine wengine ni vyanzo,

Nazunguuuka ila point yangu ni hii MAISHA YAKO FAIR KWA KUWA HAYAKO FAIR KWA KILA MTU,kila mtu anaona anastahili vitu fulani na havipati,anastahili kuwa na watu fulani around na hawapati,life does that to everyone!, Everyone!

Nature ya binadamu huwa Ana tabia ya kulinda interest zake,Hizo interest zake zikitibuliwa na mtu wa karibu ndo BAD FRIENDSHIP zinaibuka hapo mambo ya MUACHE AENDE yanaingia,
Urafiki ukivunjika,mapenzi yakivunjika mtu anayetakiwa kukamatwa wa kwanza kabisa ni wewe uliyekuwa kwenye huo urafiki/mapenzi na ukikamatwa ukatoa maelezo waweza kuta kuna FAMBA kibao ulifanya unconcously ,and since you did without being conscious unajiona INNOCENT

Just celebrate your individualism without putting too much pressure on others, assume that this life is one big piece of cake, so big and enough for each one of us, everyone is taking his/her share, take your share quietly and leave.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…