Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
As a friend yes, japo tuko mbali we are very close and free with each otherMmhhh I feel something mkuu🤔🤔
Uliwahi kumpenda lakini??
Absolutely, pana kitu nimejifunza, obvious God knows everything about usHabari wakuu.
Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila muda unatamani uwe nae karibu au kuwasiliana na nae. Au kama ni rafiki yako wa kiume unakua kila ukitaka kufanya kitu Fulani unamstua mshikaji wako, yaani kama kuna ishu unatka kufanya mshikaji wako bila kuwepo unaona unaifanya kimagumashi. Kiuhalisia unakua upo mentally attached to that person, unakua umempa nafasi kubwa sana mpenzi wako au mtu huyo kwenye akili yako na maisha yako kwa ujumla.
Je huo upendo na nafasi kubwa uliyompatia kwenye maisha yako ushachunguza kama naye anakupatia nafasi hiyo? Jibu ni No! na kama ni Yes basi nafasi hiyo amekupa kwa muda, kuna muda utamtext atakujibu kwa wakati wake, utatamani kuongea nae ila yeye ataona unaboa tu, utataka uonane nae yeye atakuona msumbufu.
Ikifika hatua unaona mtu yupo online unamtext pm ana like tu, unamtext wasap ana soma then anakaa kimya sana au unamtext kwa sms halafu yeye kaka kimya wakati unajua hiyo sio kawaida yake jua kwamba huna chako hapo, utakua unalazimisha mawasiliano, mapenzi au urafiki ambao mwenzako hautaki tena.
Kwanini ulazimishe mawasiliano au mapenzi ? Kila kitu chatokea kwa sababu. Unajua unapompenda na kumjali mtu sana kiasi asicho stahili utaishia kupata maumivu usiyo stahili..
Subconscious mind hutenda kazi ikishirikiana sambamba na Nature, kuna hali Fulani unawez kua nayo katika maisha labda ni upweke,huzuni,kukosa faraja kiufupi unakua huna furaha au amani ya maisha. So kinachotokea ni kwamba
Subconcious mind inawasiliana na Nature kua mwanadamu huyu (yaani wewe) una matatizo Fulani maishani inaiamuru nature kutafuta mtu wa kuja maishani mwako ambae ataendana na hali ile uliyonayo.
Baada ya muda mfupi utajikuta umepata rafiki ukawa nae anakuliwaza kweli hadi ile hali ikawa imeisha..Mind ikishaona mentally ya huyu mtu iko stable inamuamuru nature kuruhusu yule mtu kuondoka au akaendelea kubaki. Hapo sasa ndio utaona umepata rafiki labda ni mwanamke au mwanaume akawa anakupa company sana kwa hali uliyonayo kwa muda Fulani (hata mwaka mzima. Unajikuta umekua attached sana na mtu huyo then inafika muda bila sababu yoyote ile ya msingi unaona mawasiliano na urafiki unapungua taratibu then unaisha kabisa. Hapo nature inakua ishafanya yake..
Nachotaka kusema ni kwamba watu ambao mpo kwenye mahusiano jifunzeni kusoa alama za nyakati, so unaona hapa mapenzi au urafiki unaanza kuisha ila wewe ndio bado unazidi kuongeza kupiga simu na kumfuata ili aendelee kubaki…Kijana kila kitu kinakuja kwa muda na sababu Fulani, hutakiwi kutumia nguvu kubwa kumfanya mtu aendelee kubaki kwenye maisha yako. Mtu kama ni muhimu kwenye maisha yako atakuja mwenyewe na kukaa nawe daima, huna haja ya kulazimisha.
Kwanini ulazimishe mahusiano? Watu wote hawa waliojaa duniani au unadhani yeye ndio bora pekee kuliko wote, mwache aende labda alikua sio riziki ya maisha yako! Utapata mwingine. Kikubwa zaidi ambacho hutakiwi kukifanya maishani mwako ni kupuuzia ubaya wa mtu anaokufanyia kwakua unahitaji mtu huyo aendelee kubaki maishani mwako, train your mind to be stronger than your feelings.
Kingine maishani mwako usionyeshe wema au uzuri wako ili uwafanye wavutiwe nawe, waonyeshe ule upande wako ambao ni mbaya uone kama watakuvumilia au wataondoka. Wakiondoka usijali jua ni watu fake. Be real that’s beautiful enogh kijana.
Mwaka mpya,misimamo mipya..Uliumbwa mwenyewe! Huyo mpenzi au rafiki yako umpendae sana ambae unaona huwezi fanya kitu bila yeye ni wa kupita tu.
Hamishia nguvu zote kwa mama yako ndio the best one ambae hatakuja kukusaliti. Jiamini katika uwezowako, unaweza kufanya makubwa bila mpenzi wako huyo ambae unaona huwezi fanya kitu kikafanikiwa bila yeye.If you Doubt your power, you power your doubt.
Binafsi hua sijali wala kujutia chochote maishani mwangu, ukinipenda Ahsante na karibu, ukiondoka hamna shida pia.. you weren't meant to stay in my life, if you were! You will stay in my life forever
A guy has said, It’s up to you To choose me or to loose coz I’m not a second choice
With or Without you, I shine!
Vers
Love doesnt ask why huyu naona anatafuta wa kumpenda zaid ya anavyojipenda mwenyeweMmhhh I feel something mkuu[emoji848][emoji848]
Uliwahi kumpenda lakini??
Niseme tu jambo moja, wewe jamaa una akili nyingi sana.Waache waje maishani mwako,wakichoka waache wasepe kama walivokuja,na wewe huko unakoingia,ingia tu ukichoka sepa kimya kimya bila kelele,ndo cycle tuliyomo mzee baba ,hizi illusion za UNCONDITIONAL LOVE/FRIENDSHIP ukizifata utapata tabu Sana,UNCONDITIONAL LOVE ni highest expression ya Divinity,ni kitu Sacred, And humans aren't that sacred,they aren't even close to sacredness ,
Binadamu mostly tunaishi maisha mawili
1.maisha ya kwanza ni for Public display (highest form of hypocrisy) maisha yaliyopakwa rangi za uongo na kweli
2.maisha ya pili ni maisha yetu halisi,hii ni intrinsic feelings na Emotions,(hii part huwa inafichwa) huku ndo kuna makorokoro kibao,hii part ni sawa na mzazi aliyezaa mtoto mlemavu anamficha ndani ili watu wasijue,ila huyu mtoto kuna wakati anaforce kutoka nje,ndo Inakuwa AIBU,hata huyu amefanya hiviii?
Kumbe anafanya kila siku kimyakimya ni siri yake tu .
Hayo maelezo hapo juu yanatuhusu binadamu wengi mno.
Ila kupenda mkuu ni hatari... Yaani wengine wote unawaona kama vinyago uliyempenda tu ndio unamuona mrembo dunia mzima. Ogopa sana nafsi ikipenda
Mimi huwa sipendi kudeal na watu wasio na hisia. Huwa nawaona kama majini na huwa natokea kuwachukia sana.
Binadamu hatukuumbwa kuishi pekee yetu lazima uwe karibu ya watu na mtu anaekupenda kwa dhati.
Mtu anae kusalimia asubuhi mnapoamka aidha kwa kukupigia simu au kukutext, mtu ambaye atataka kujua unakula chakula vema, atakae pokea simu na kuwasikiana na wewe hata akiwa busy, atakae kuwa anataka kupanga maisha na wewe na kuweka kila alichokuwa nacho mezani ili kitumike kuyapata hayo maendeleo.
Ambaye hata ikaimu nafasi yako kwa mtu mwingine na kukuonyesha wewe ni mtu pekee kuwa nae.
Sasa usipopata wa hivi ndio unakutana na hayo madudu yenye ubinafsi umeongelea hapo.
sometimes ni bora kuwa mpweke kuliko kutegemea furaha kutoka kwa mwanadamu.Na ukiyafuata utaishia kuwa mpweke siku zote.
Maana kitu kizuri chochote lazima ukitolee jasho, ukisubiri cha kujileta chenyewe bila kuvuja jasho, ndio kitakuja, lakini sio kile ulichokitaka. Na wala hakiwezi kukupa furaha.
Wanaume huwa hatulilii mapenzi Bob.Tumedumu yapata miezi 5 lakini hisia zangu juu yake zilikuwa za kweli hasa, nilimpenda na nilimhitahi sana binti mmoja. kuna kipindi niliwahi kutia mashaka Jinsi ya alivyonitazama kama hisia zake zilikuwa zina ukweli ndani yake, nilijitahidi kumjali na kumtunza kwa kadri nilivyoweza, nilijipa tumaini kubwa sana juu yake angekuwa msaidizi wangu baada ya miaka 2 au 3 toka sasa. Lakini toka Mwezi December alibadirika sana, mawasiliano yalikuwa changamoto lakini Upendo wangu kwake ulinipofusha kiasi cha kutotilia maanani dalili ambazo si nzuri, Hatimaye Binti kanieleza ukweli juu ya safari yetu, kapokea Maono kuwa mimi sio mtu sahihi kwake kwamba Sisi ni watu Madhehebu tofauti na hivyo uhusiano wetu haumpendezi Mungu, napitia wakati mgumu wa kuponya majeraha ya hisia nilizokuwa nazo juu yake. Wasiwasi wangu najiona jinsi nitakavyokuwa Muoga kuingia katika uhusiano mwengine, nafasi ya kuwaamini wanadamu inazidi kupungua kwangu na sioni ambaye naweza kuja kumuamini kirahisi, labda na Mimi nipate ufunuo wa Mungu juu ya Watu husika.
inaumiza
Uzi safiHabari wakuu.
Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila muda unatamani uwe nae karibu au kuwasiliana na nae. Au kama ni rafiki yako wa kiume unakua kila ukitaka kufanya kitu Fulani unamstua mshikaji wako, yaani kama kuna ishu unatka kufanya mshikaji wako bila kuwepo unaona unaifanya kimagumashi. Kiuhalisia unakua upo mentally attached to that person, unakua umempa nafasi kubwa sana mpenzi wako au mtu huyo kwenye akili yako na maisha yako kwa ujumla.
Je huo upendo na nafasi kubwa uliyompatia kwenye maisha yako ushachunguza kama naye anakupatia nafasi hiyo? Jibu ni No! na kama ni Yes basi nafasi hiyo amekupa kwa muda, kuna muda utamtext atakujibu kwa wakati wake, utatamani kuongea nae ila yeye ataona unaboa tu, utataka uonane nae yeye atakuona msumbufu.
Ikifika hatua unaona mtu yupo online unamtext pm ana like tu, unamtext wasap ana soma then anakaa kimya sana au unamtext kwa sms halafu yeye kaka kimya wakati unajua hiyo sio kawaida yake jua kwamba huna chako hapo, utakua unalazimisha mawasiliano, mapenzi au urafiki ambao mwenzako hautaki tena.
Kwanini ulazimishe mawasiliano au mapenzi ? Kila kitu chatokea kwa sababu. Unajua unapompenda na kumjali mtu sana kiasi asicho stahili utaishia kupata maumivu usiyo stahili..
Subconscious mind hutenda kazi ikishirikiana sambamba na Nature, kuna hali Fulani unawez kua nayo katika maisha labda ni upweke,huzuni,kukosa faraja kiufupi unakua huna furaha au amani ya maisha. So kinachotokea ni kwamba
Subconcious mind inawasiliana na Nature kua mwanadamu huyu (yaani wewe) una matatizo Fulani maishani inaiamuru nature kutafuta mtu wa kuja maishani mwako ambae ataendana na hali ile uliyonayo.
Baada ya muda mfupi utajikuta umepata rafiki ukawa nae anakuliwaza kweli hadi ile hali ikawa imeisha..Mind ikishaona mentally ya huyu mtu iko stable inamuamuru nature kuruhusu yule mtu kuondoka au akaendelea kubaki. Hapo sasa ndio utaona umepata rafiki labda ni mwanamke au mwanaume akawa anakupa company sana kwa hali uliyonayo kwa muda Fulani (hata mwaka mzima. Unajikuta umekua attached sana na mtu huyo then inafika muda bila sababu yoyote ile ya msingi unaona mawasiliano na urafiki unapungua taratibu then unaisha kabisa. Hapo nature inakua ishafanya yake..
Nachotaka kusema ni kwamba watu ambao mpo kwenye mahusiano jifunzeni kusoa alama za nyakati, so unaona hapa mapenzi au urafiki unaanza kuisha ila wewe ndio bado unazidi kuongeza kupiga simu na kumfuata ili aendelee kubaki…Kijana kila kitu kinakuja kwa muda na sababu Fulani, hutakiwi kutumia nguvu kubwa kumfanya mtu aendelee kubaki kwenye maisha yako. Mtu kama ni muhimu kwenye maisha yako atakuja mwenyewe na kukaa nawe daima, huna haja ya kulazimisha.
Kwanini ulazimishe mahusiano? Watu wote hawa waliojaa duniani au unadhani yeye ndio bora pekee kuliko wote, mwache aende labda alikua sio riziki ya maisha yako! Utapata mwingine. Kikubwa zaidi ambacho hutakiwi kukifanya maishani mwako ni kupuuzia ubaya wa mtu anaokufanyia kwakua unahitaji mtu huyo aendelee kubaki maishani mwako, train your mind to be stronger than your feelings.
Kingine maishani mwako usionyeshe wema au uzuri wako ili uwafanye wavutiwe nawe, waonyeshe ule upande wako ambao ni mbaya uone kama watakuvumilia au wataondoka. Wakiondoka usijali jua ni watu fake. Be real that’s beautiful enogh kijana.
Mwaka mpya,misimamo mipya..Uliumbwa mwenyewe! Huyo mpenzi au rafiki yako umpendae sana ambae unaona huwezi fanya kitu bila yeye ni wa kupita tu.
Hamishia nguvu zote kwa mama yako ndio the best one ambae hatakuja kukusaliti. Jiamini katika uwezowako, unaweza kufanya makubwa bila mpenzi wako huyo ambae unaona huwezi fanya kitu kikafanikiwa bila yeye.If you Doubt your power, you power your doubt.
Binafsi hua sijali wala kujutia chochote maishani mwangu, ukinipenda Ahsante na karibu, ukiondoka hamna shida pia.. you weren't meant to stay in my life, if you were! You will stay in my life forever
A guy has said, It’s up to you To choose me or to loose coz I’m not a second choice
With or Without you, I shine!
-Da'Vinci
Mind should be stronger than feeling....[emoji123][emoji123]Habari wakuu.

Mkuu upo form ngapi au chuo mwaka wa ngapi?Kuna dada flan hv ananipend sana ila 2naishi km marafiki,, ishu ni hivi huyu dada akinimiss ndo shobo zinakuwa nyingiii! Yani nikimchunia bila kupokea sim yake af nkakaa kmya hata siku 1 na zaid af siku ikatokea nkapokea shobo linakuwa sio la nchii hii na ahad kibao! Kiufup akinimiss ndo ananipenda ila 2kizoeana tena inakuwa kawaid sana hamna shobo!! Sasa nikitaka papuchi nakuwa kimya siend kwake wala sjib sms wala call mpaka animiss!!Nikishajua amenimiss namtafuta ananipa mwenyw kirahis sana! Ila 2kizoeana tena anakuwa mgumu na anichukulia poa sanaa! Nlichojifunz hapa kuna smtym 2nachukuliana poa cuz 2na assume m2 atakuepo mda wote! Kma sahv nmemchunia sipokei sim zake mpaka valentine ndo ntamtafta nimle maan akinimiss atakuwaga na moto sana!!!