BarajaMkush
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 1,633
- 2,975
Mimi binafsi, mtu ukitaka kukaa, kaa usipotaka we nenda tu. Si mpenzi wala ndugu wala rafiki, mara nyingi napenda sana kuwa peke yangu, naongea na kujijibu mwenyewe.
Mwenye akili ndogo unaweza sema nina any kind od mental disorder ila afya yangu ya ubongo iko sawa sana. Kwa marafiki huwa nina tabia moja, nikikupigia simu mara tatu au mbili usipokee na usijekunitafuta namba huwa nafuta, wewe hata tukikutana njiani jifanye ni new comer tu kwangu.