Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Kawaida washauri wengi wazuri hua ni wale wenye matatizo tena mara nyingi hua ya aina ileile ambayo yanawasumbua na wameshindwa kuyatatua"Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford..
But spiritually kuna watu ni special au wanatumika kama wajumbe kuwafikishia watu mambo flani. Inatokea sana hii maishani wala usinicheke
Ebu kama unaweza utuambie nini hasa ambacho kimekutokea kilichoifufua huzuni yako tuone tunakusaidiaje.Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford..
But spiritually kuna watu ni special au wanatumika kama wajumbe kuwafikishia watu mambo flani. Inatokea sana hii maishani wala usinicheke
Haitakaa itokee sasa, nitalazimisha pesa isiondoke na sio mwanamkeIpo Siku yatakukuta na utalazimisha tu...
Never say Never
Najua havina mbabe hivyo ila vitakusaidia sana kupunguza usiteseke sbb ya mapenzi, utapata kila unacho hitajiHavina mbabe hivyo ndugu yangu...
Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford..
But spiritually kuna watu ni special au wanatumika kama wajumbe kuwafikishia watu mambo flani. Inatokea sana hii maishani wala usinicheke
Gorgeous nakupenda [emoji3590]Mmhhhh.....[emoji849]
Kuandika ni rahisi sana ila kutenda sasa!!
How it is out there mate??
Mimi nimelizika na hali hivyo hivyo. My fate has been sealed
Pole sana Da'vinci.Hua nakuja naisoma hii comment, natamani kuiishi ila nashindwa kabisa
Umenikumbusha song hilo la enya only timeWho can say where the road goes
Where the day flows, only time
And who can say if your love grows
As your heart chose, only time[emoji22]
Bado unatamani sweetheart arudi chief?
What are you doing about it then?Ndio furaha yangu, she's part of me I can't just let her go.
Ad I won't give up on her
Haaaa ndo wewe mwenyewe enjoyna huyo jamaa yakoyna2,
I got one friend tunaefanana kila kitu, mawazo,vitu tunavyopenda,tumezaliwa siku ,tarehe na mwaka mmoja..tumesoma shule moja,Tumepata maksi za aina moja toka primary..Tumenusurika kufa pamoja kwa ajali.
Sikuwahi kujua rangi yake hali. Nimemjua sasa