Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford..

But spiritually kuna watu ni special au wanatumika kama wajumbe kuwafikishia watu mambo flani. Inatokea sana hii maishani wala usinicheke
"Kawaida washauri wengi wazuri hua ni wale wenye matatizo tena mara nyingi hua ya aina ileile ambayo yanawasumbua na wameshindwa kuyatatua"
 
Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford..

But spiritually kuna watu ni special au wanatumika kama wajumbe kuwafikishia watu mambo flani. Inatokea sana hii maishani wala usinicheke
Ebu kama unaweza utuambie nini hasa ambacho kimekutokea kilichoifufua huzuni yako tuone tunakusaidiaje.

Maana mimi kilichonisaidia kila changamoto ilokua inanitatiza nliomba humu ushauri hadi mwisho wa siku nikaachana nae kwa ushindi kabisa.
 
Mkuu wacha tu life is not fair nami nashangaa nawaelekeza vitu vinanisaidia ila mimi yangu yamenishinda. Ndio Maana hua nasema I guide other the treasures I can't afford..

But spiritually kuna watu ni special au wanatumika kama wajumbe kuwafikishia watu mambo flani. Inatokea sana hii maishani wala usinicheke

Mkuu upo kama mimi tu....it’s so sad
 
IMG_6419.jpg
 
Niliwahi kulazimisha mpenzi aendelee kubaki ktk maisha yangu kitu ambacho sikuwahi kuwaza kama nitakuja kufanya,tulipendana na nilimpenda sana at the end alilazimisha tuvunje relationship,umbali wa mimi na yeye ulichangia lakini hiyo haikua sababu kubwa, nilifosi lakini haikuwezekana, niliamua kudelete kila kitu chake kuanzia contact mpaka picha hiyo ilikuwa rahisi ila kumtoa kichwani ilichukua zaidi ya miezi mitatu, nilimsahau kabisa, alikuja kunitafuta baada ya mwaka mmoja akidai kuwa amenikumbuka sana, sikuwa na sababu ya kutojibu sms zake wala simu ila ile hali ya kumchangamkia kama zamani ilipotea kabisa.,
 
yna2,
I got one friend tunaefanana kila kitu, mawazo,vitu tunavyopenda,tumezaliwa siku ,tarehe na mwaka mmoja..tumesoma shule moja,Tumepata maksi za aina moja toka primary..Tumenusurika kufa pamoja kwa ajali.
Sikuwahi kujua rangi yake hali. Nimemjua sasa
Haaaa ndo wewe mwenyewe enjoyna huyo jamaa yako
 
Back
Top Bottom