Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

But the ad said that till death do us apart.. Tilll the end of time.😢😢
 
Mimi siamini watu mpaka mm mwenyewe sometimes huwa naquestion hata maamuzi yangu.... Kuna wakati naamini what I know about me is a lie.... I am working hard to know myself......

Assume niliwahi kumfukuzia mtoto wa watu for 2 good years na siku aliponikubalia... nikamweka kwenye mizani upya... nikafanya critical analysis nikaona nilikosea kumfukuzia NIKAMWACHA.
 
Na vipi hamjajua pamoja
 
Best yangu tulijuana mara ya kwanza mwaka 1998 tulidumu hadi tukawa rafiki ndugu.Weee yeye alianza kupata life, kazi gari hapo kwenye ndoa since kutoka kanisani mpk leo hatuna mawadiliano.

Kila mtu ana familia sasa toka 2012 mpk leo hatuwasiliani wala watoto wetu hawajuani na woote tupo mji mmoja.
Na Mungu alivyo wa ajabu hata kukutana kwa bahati mbaya hatukutani.
 
At the end, everything fall apart
 
Love it's run by people with with agendas and agendas change. 😢
That's, wasn't the end of line we imagined
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…