Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Maisha bila kujipendekeza hutoboi
Kila mtu anatamani kuyaishi uliyoandika lakini dunia haipo hivyo.
Kuna hasi na chanya.
Kuna inferior na superior
 
Now it's time to say goodnight
Goodnight, sleep tight
Now the sun turns out his light
Goodnight, sleep tight
Dream sweet dreams for you
Dream sweet dreams for me
Close your eyes and I'll close mine
Goodnight, sleep tight
Now the moon begins to shine
Goodnight, sleep tight
Dream sweet dreams for you
Dream sweet dreams for me
Close your eyes and I'll close mine
Goodnight, sleep tight
Now the moon begins to shine
Goodnight, sleep tight
Dream sweet dreams for you
Dream sweet dreams for me
Goodnight
Goodnight baby
 
Linda ni mgonjwa mda,napenda nyimbo zake ....aron nevile ndio legend wng babu anajua kuimba
Maisha ni fumbo asee huyu mwanamke alikua mzuri sana enzi hizo na sauti tamu. Ila leo ukimuangalia alivyozeeka.
Huo wimbo naupenda alivyouimb akwa hisia kali hafu mwisho anamalizia kusem Goodnight babe kwa upole utadhani anakuambia.
Napenda san nyimbo za 70,80,90 na 20s mwanzoni nimezijaza
 
Maisha bila kujipendekeza hutoboi
Kila mtu anatamani kuyaishi uliyoandika lakini dunia haipo hivyo.
Kuna hasi na chanya.
Kuna inferior na superior
Mkuu ni kweli mfumo wa dunia ulivyo bila kujipendekeza mambo yatakuwea magumu kwenye kila kitu. Ila kwangu mimi ni tofauti kabisa hasa kwa upande huu mahusiano na watu.

Mimi siwezi kujipendekeza kaabisa kwanza nimejijengea mazingira kwamba hakuna mtu anayeweza "Kunikomesha" yaani unitishie nisipofnaya kitu fulani sitapata kitu fulani, Sijali na sikomesheki mimi. Kwanza kabisa mimi binafsi sijijali wala sijali mtu ataniumiza vipi ndio maana mimi kuchukua kisu nikajichana ni jambo dogo tu au kuchukua kitu changu cha thamani nikakivunja hua sijali.

Huwezi nikomoa au kuniumiza hisia zangu maana kuishi na kufa kwangu ni sawasawa na 1 sijali kufa wala sijali kuishi.
Kwa ujumla sijali lolote litakalonipata maishani mwangu sababu I don't expect anything from anyone... And if I expect something, I only expect worse things to happen in my life.

Kama ni kulazimisha Upendo nishalazimisha mara moja kwa mwanamke mmoja na daima haitakaa itokee tena. Hata yeye nalazimisha kwakua She worth it, It's too hard to let her go and I can't afford to loose her. Waliobaki wooote Never ever again
 
Man you're psycho! Trust me
 
This is me,I question everything my integrity,my feelings,my decision sometimes my heart because it can lie to me too😁
 
Man you're psycho! Trust me
I'm not psycho. I'm Stoic!!

 
Hiyo para ya mwisho i felt you
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......

Sasa wadau nisaidieni jins ya kumtreat huyu manzi nimteke mazima aje kwangu... Mwanzo nilikuwa nataka kupiga na kusepa sasa nimejikuta naganda baada ya dogo kuniambia kuna pesa anaiskilizia tufanye busines.... Ni mchepuko tu lakini na ni mwanachuo.

Upendo wake kwa jamaa haiusuani kabisa na kupigwa vizuur wala kuhongwa... Anadai ni mazoea tu ananiomba nikubali kuwa mume mdogo...

Mi nimekubali kwa kuwa sio ndoa na sina mpango wowote... Ila sasa nisipomteka manzi.. iyo pesa ataidaka jamaa...

Ushauri wadau mbona za kumteka huyu mrembo.

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Niaje wadau.

Nimeambiwa na demu wangu kuwa niwe mvumilivu na niongeze upendo ili amsahau mchepuko wake ambae yupo nae na anampenda kuliko mimi ila jamaa hampend demu but demu anasema anashndwa kabisa kumuacha......
Tafuta pesa kijana
 
Kwanini mkuu? Nawewe ushawahi pitia hali hiyo?[emoji849]
Yeah sema kwangu mimi ni ile nakuwa nalazimisha upendo kutoka kwa mtu na nafanya kila niwezalo ili aendelee kubaki maishani mwangu nami niendelee kubaki maishani mwake

Lakini mwisho wa siku nakuja kugundua sistahili upendo wake

Kwahiyo naamua kumuacha aende hata kama naumia kumpoteza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…