Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Mkuu nimehuzunika hiyo ya kutumiwa kama reference ya mambo mabayani fact kabisa....hata wazazi pindi tukiwa wadogo utasikia wanasema "umeanza jeuri utakuwa kama fulani"Wanasema kwamba we can't be blessed like "you/them" Kuna viumbe wameumbwa purpose yao ni kua kama Reference ya watu wengine. Yaani watu wakitaka kutoa reference ya mambo mabaya au ya huzuni wanakutumia wewe yaani by default you're programmed to be Useless creature/Being. That's why majority get all the love and fancy stuffs in the world and the rest minority we get absolute nothing.
Kama huamini Observe!!
Pole sana mkuu!!!
Maybe she's (?) Not worthy of you. You deserve better than her. View attachment 1915495
Kushinda hiyo hali ni ngumu sana, maana unavyojitahidi kuweka mambo sawa ndivyo unavyozidi kuharibu