Ryan Holiday
JF-Expert Member
- Jul 25, 2018
- 2,026
- 4,450
You are so funny mate.Pole sana mkuu kwa yaliyokupata, watu hawana huruma kabisa ulivyo mpole ila bado wanakuumiza.
Inaonyesha mapenzi yanauma sana eeh, haiajawahi kunitokea wala haitakuja kutokea kwangu.
Mwezi wa 10 tu ndio niliumia sana kuna muvi ilitakiwa zitoke mwakani wakabadirsha hadi mwaka 2023 hapo tu ndio niliumia sana. Na haitatokea tena.
Inaonyesha upo so interested kwenye movie. Ni jambo zuri coz movie zinabeba mambo mengi ikiwemo new technology, inspirational quotes and actions, love, culture, new language terminology and others.
So you get a full package (movie)
Lakini maisha ya upweke ni changamoto sana japo wengi wanapenda kuonyesha furaha na tabasamu machoni pa watu.