Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Yaani mkuu Baba hujakosea! kabisaaa!! yalinichapa na nikachapika ! kamupenzi kangu Mary! haka kalinichapa mpaka leo ni kamke kangu nakapenda weweeee! hee! na la pili ni Mshua! yaani huyu bana alikuwa kauzu!!!

Hali ilikuwa mbaya zaidi alipooa!! kamke ka pili eliza!! kabisa anakuona ka nyau vile!!! uende shule usiende utajiju ukitaka posho ya kalamu au chochote kinacho husiana na shule utayamba cheche!!

akikupatia hako ka mpunga anakutupia chini !!! ka dogi!! sasa uokote au uache! na hajali km umeona au hujaona! pamoja na hayo yoote!! kwa Elimu yangu! nilimpiga usajili! kunako Biashara zake, bila mimi mambo yake hayaendi vinginevyo atumie hela ndefu, na masimango ili kupata usajili! bado nampenda sana! usisahahu ''ADUI MPENDE''
Tafadhali tupe stori jinsi Mary alivyouchuna moyo wako Mkuu.
Hua natamani nami hii initokea nijue uchungu halisi wa kuumizwa na Ke upoje
 
Tafadhali tupe stori jinsi Mary alivyouchuna moyo wako Mkuu.
Hua natamani nami hii initokea nijue uchungu halisi wa kuumizwa na Ke upoje
Ni kastory kaefuuuu sana mkuu!! ila kwa ufupi sana.... ila sasa physical appearance ndo inatumalizaga sisi watu me
Mpole, mwili wa kati, Maji ya kunde!! halafu ni mdogo kwangu kiumri!! alikuwa msikivu! halafu kasura sasa weeee!! kipiua hivi...tuvidole sasa km twa watusi vilevile!

Mbali na umbo la nane nane, macho yake km ana usingizi!! kikubwa zaidi hekima zake banawee! kuhusu maisha, Biashara pia sikupungukiwa! hakuwa mkorofi km Thacha, wala mbishi! ukikosea anakupa makavu kifupi alikuwa na hekima!

alikuwa km mchawi vile siku nimeanza ishi nae bana!! sikujua shida kabisaaaaa! kuhusu mapene! chochote nilicho fanya kili tick! kila hitaji lilikamilika! kwa mara ya kwanza nikapata scholarship! iliyo shindikana miaka kibao! tena full kulipiwa!!

km mie ndo nilikuwa mkorofi vile lkn alijua kutatua...
 
Ni kweli yoyote anaweza kubadirika. Ila kwa mama yangu, My mom. Hapana she'll always be my first favorite person in the earth.
Hawezi kunigeuka, nikikumbuka alivyokua ananifichia chakula baba akicharuka home
Mkuu sema hivi ''utasamehe hata akikugeuka au mapungufu kivipi!!! huyo hata akikuchoma Mwili mzima ukabaki na makovu!!! utajilidhisha tu kwamba ''karogwa sababu watu wanakuonea wivu anavokupenda!'' achana na kitu upendoooo!

Ungejua wadada wanavo toa mimba!! huko mahospitalini???? heee!! sasa huyu aliyetolewa mimba sasa apone hawezi kumkana *****??? hata ufanyeje! atajua tu ni kibri ya Baba kumkataa Mama!
 
Ni kastory kaefuuuu sana mkuu!! ila kwa ufupi sana.... ila sasa physical appearance ndo inatumalizaga sisi watu me
Mpole, mwili wa kati, Maji ya kunde!! halafu ni mdogo kwangu kiumri!! alikuwa msikivu! halafu kasura sasa weeee!! kipiua hivi...tuvidole sasa km twa watusi vilevile!

Mbali na umbo la nane nane, macho yake km ana usingizi!! kikubwa zaidi hekima zake banawee! kuhusu maisha, Biashara pia sikupungukiwa! hakuwa mkorofi km Thacha, wala mbishi! ukikosea anakupa makavu kifupi alikuwa na hekima!

alikuwa km mchawi vile siku nimeanza ishi nae bana!! sikujua shida kabisaaaaa! kuhusu mapene! chochote nilicho fanya kili tick! kila hitaji lilikamilika! kwa mara ya kwanza nikapata scholarship! iliyo shindikana miaka kibao! tena full kulipiwa!!

km mie ndo nilikuwa mkorofi vile lkn alijua kutatua...
Daah mkuu post nzima umemsifia hata hujaeleza kisa kilivyokua
 
Mkuu sema hivi ''utasamehe hata akikugeuka au mapungufu kivipi!!! huyo hata akikuchoma Mwili mzima ukabaki na makovu!!! utajilidhisha tu kwamba ''karogwa sababu watu wanakuonea wivu anavokupenda!'' achana na kitu upendoooo!

Ungejua wadada wanavo toa mimba!! huko mahospitalini???? heee!! sasa huyu aliyetolewa mimba sasa apone hawezi kumkana *****??? hata ufanyeje! atajua tu ni kibri ya Baba kumkataa Mama!
Siwezi wasemea mama wa wengine ila upande Wangu my mom She's the First person to me. She's worth dying for.
 
FB_IMG_16389033429768430.jpg
 
yna2,
I got one friend tunaefanana kila kitu, mawazo,vitu tunavyopenda,tumezaliwa siku ,tarehe na mwaka mmoja..tumesoma shule moja,Tumepata maksi za aina moja toka primary..Tumenusurika kufa pamoja kwa ajali.
Sikuwahi kujua rangi yake hali. Nimemjua sasa
Eladius huyu jamaa alikua rafik angu chuo kikuu...tulifanana KILA kitu....tulipo enda nae home baba angu mkubwa alikua anasema....yaan ni maajabu tulifanana tabia zote....

Yaan asicho penda na mm sikipendi....
Tulifanana kimawazo na mitazamo...

Yaan ni muda tu ndio umetutenganisha ila tunawasilianaga Mara Moja mojaa
 
Ntakuja kueleza kisa changu one day nikiwa kwenye hali ya utulivu comrades
 
Pole sana mkuu, what happened??
Mkuu nilikuwa na malengo nae huyu binti na ni one of the best woman kati ya niliowahi waona....

Ila kutokana na umbali, nilivyorudi likizo fulani nikakuta anaolewa na kama hiyo haitoshi alikuwa na mtoto mmoja a baby boy.....

Sema inauma na kuchanganya kweli huwezi pata kila kitu kwenye maisha, ukitafuta pesa utapata ila yule aliefamya utafute atakuwa mbali huko...unabaki jifariji na meterial things.
 
Back
Top Bottom