Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Mkuu ni kweli mfumo wa dunia ulivyo bila kujipendekeza mambo yatakuwea magumu kwenye kila kitu. Ila kwangu mimi ni tofauti kabisa hasa kwa upande huu mahusiano na watu.

Kwa jinsi ulivoandika kwa jazba nilihisi lazima umetendwa na mtu tena inaonekana sio muda mrefu sana na bado unampenda mpaka leo.
 
I tells people that no one is special then wanadhani mimi ni special kwa kuwaambia hivo. We all need to belong to someone..to have someone to hold onto.
Sasa inapotokea yule unyetamnai kuBelong kwake doesn't feel the same like you do or doesn't want you ndipo hapo mtu unafikia hatua ya kutokujali kitu!
Ndio maana ukiangalia Sadist Psychopath wanaofany mauaji wengi wanakua wamesababishiwa na watu wawapendao, kampenda mtu aliyempenda anamkataa then jamaa anaona hana la kufanya tena duniani kila mtu hamtaki.. Matokeo yake anakua muuaji.. Wakati angepata upendo japo kidogo tu asingefikia hatua hiyo.
Btw kwa uzuri ulionao mtu anaanzaje kukuumiza??🙄
 
Linda ana 65yrz sema ugonjwa ndio umemfanya akae pembeni,anaumwa ugonjwa ule wa mikono kutetemeka
 
Hahaha we nawe una shida sio bure[emoji3]
 
Hili jambo linapande mbili,
Mapenzi na urafiki baina ya mtu na mtu,
Kwenye mapenzi mmoja akizingua aende salama "amalize mwendo salama" Hata mimi sijali
Lakini kama ni rafiki, nafikiri unahitaji muda zaidi wa kujua kwanini yanatokea hayo, sisi ni binadamu tunabadilika muda wowote si dhambi kufatilia sababu ya mabadiliko ya mtu.
 
Nakubaliana nawe Mkuu kikubwa fuatilia ila usifosi kuudendelea. Let nature take the wheel.
Ila upendo una nguvu ya kufanya nyeupe iwe nyeusi na nyeusi iwe nyeupe. Tuwapende wanaotupenda.. maisha mafupi!🙄
 
Dah huyu Demu alikuwa ana Mpenda sanaaa John Snow

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Mimi nampenda zaidi emilia ni mpole. Mwanamke akiwa Decent hua nampenda sana. Hafu akiongea lips zake za juu hupanda zinakua kama za mwanamke mmoja hivi.. basi hua napenda nimuone akiongea kama mwanamke huyo navyopenda kumuangalia akiongea
 
Nipende kuchukua nafasi hii kumtakia pumzika la amani member mwenzetu na regularly visitor/reader wa uzi huu ndugu ip_mob Mungu aipumzishe roho ya ndugu yetu huyu katika mikono yake ya amani, Amjalie rehema zake na ampokee kwa huruma huko aendako!

Wote tu wapitaji duniani mwenzetu katutangulia bado kijana mdogo, dunia na jamii ilikua bado inamuhitaji. But death is certain! Pindi muda wako ukiwadia basi huna budi kuitikia wito.

Tumuombee mwenzetu pumziko jema, Tuendelee kuwapenda wote watupendao, Upendo ni bure upendo unaweza kuondoa uhai/furaha wa mtu au kurudisha uhai/furaha ya mtu.

Muda wowote mtu anaweza kukutoka ukabaki unajilaumu kumuimiza, wakati ungempatia upendo ungeweza kuongeza uhai wake.
Pumzika salama mkuu!

[Binafsi bado sijaamini kama kweli katutoka..Jana tu 😔]
 
Linda ana 65yrz sema ugonjwa ndio umemfanya akae pembeni,anaumwa ugonjwa ule wa mikono kutetemeka
Kuna huyu mwanamke anaitwa Dushon Monique Brown..aliigiza kwenye PB kama nesi, So decent and mpole.
Kuna wanawake wazuri asee, Nampenda kafanana na fulani hivi macho yake na upole wake.
Kuna mtu ukimuona tu unatamani umpeeeeende hadi uchanganyikie ndio dizaini ya watu wa hivi.
Too bad kafariki 2018 kwa matatizo yatokanayo na unee
 
Ukiona akutaki chananae mzehe. Wala ucbembeleze. Wanawake wakuoa ni wengi munoo, wingine wanatafuta wanamume wa kuwaowa na hawapAti.
 
Upweke kitu kibaya sana..[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
View attachment 1915447View attachment 1915451
Maisha haya dah, upo na mixed feelings, na hapo ni introvert means huwezi kujichanganya, unashinda ndani kupigana vita ambayo haiishi na unajua huwezi kushinda.....

Memories zinatesa sana,

unatamani, mtu ajue the inner you inavyojisikia juu yake, ila ndo hivyo, yeye hataki hata kujua wala kusikia kuhusu wewe.....

kama ni maendeleo mbona sahizi ninayo mbona harudi? Mbona haoneshi hata kutingishika?...... I have spent 7years fighting endless battle leo nimepata kidogo naweza kuafford vingi anvayotaka ila hata nikimuita anagoma kunisikiliza. But why ry
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…