Hisia hazipandikizwi ndugu (kwa maoni yangu) anayekupenda atakupenda tu. Kikubwa kamwe usitumie material things yoyote kama vile cheo, mali, pesa,madalaka nk kumfanya mtu akupende. Kama unataka mapenzi na sio sex basi usifanye vitu hivyo utajuta maana Upendo haununuliwi na hakuna kiasi cha mali wala pesa kinachoweza kununua Upendo wa mtu. Utaishia kuigiziwa mapenzi.
Kikubwa mkuu kama mtu akikuacha wewe usinungunike ndio maisha nothing last forever, Na kama akikupenda na ukaona kabisa ana mapenzi kwako kamwe usimuache. Shida tunaitumia nguvu nyingi kutambua hisia za mtu na kupata penzi la mtu anayekupenda.. Just let things flow naturally.
π’π’π’Unayemuacha ndio mpenzi wako wa Maisha yako, unayemuona hana thamani kwako utamjutia kwenye maisha yako