Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Danvers nilimpendaga mdada mmoja ,tulidumu kwenye mahusiano takriban miez mi 5.. nilijitahid kutimiza mahitaji yote, but kadri siku zilivyo zid kwenda mwenzangu akawa anabadilika kiasi kwamba mawasiliano yakapungua ,nilikua kila nkijaribu mwenzangu anasingizia Yuko busy..Sasa yapita Wiki nikama ameniacha rasmi ,maana kunakijamaa anakipost status mara Kwa mara naona kishachukua nafasi yangu....



Yaani dah huyu Dem Yuko moyoni mwangu ...akili ime stuck namwaza yeye tu..nkipiga simu hapokei even txt hajibu..nko dilema
 
Wazee wa hit and run au find fvck and forget hizi mambo huwa hazitusumbui

Mapenzi hayana formula ukitaka ujue hilo walio kwenye ndoa wengi wameoa au wameolewa si na yule ambaye alikuwa chaguo lake namba moja

Kutendwa kwenye mahusiano ni jambo la kawaida. Furahia bora amekukataa mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa kuliko ungefunga ndoa na mtu ambaye hakupendi
 
Wee nishahri tuu mwanawane...maana huyu mwanamke pamoja na kugegeda wanawake wengine bado yupo akili mwangu na nikionaga text yake tuu napagawa....nafanyaje ili nimpate jameni?
 
Huu wimbo unaitwaje?
 
Attachment to the material is detachment from the spiritual.
"Wong"- Avengers: Infinity War

 
I didn't know that you're a Marvel fan.. Mate JJ
Oops - A little bit Mate but "Avengers: Infinity War" is the one of my all time favorite movie. Most of the time, I watching it, listening it and read word by word through English Subtitle.
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tunapenda yule tunayempenda. Love a Greatest force of all. Love change everything 😔
 
Sir, on your opinion do you think we have to reconsider to love those Who give back our affection or. We have to force and insist them to love us back. Regarding we don't choose who love us back?
 
Yupo online lakini sio kwa ajili yako..Inauma ila ndio uhalisia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…