Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Danvers nilimpendaga mdada mmoja ,tulidumu kwenye mahusiano takriban miez mi 5.. nilijitahid kutimiza mahitaji yote, but kadri siku zilivyo zid kwenda mwenzangu akawa anabadilika kiasi kwamba mawasiliano yakapungua ,nilikua kila nkijaribu mwenzangu anasingizia Yuko busy..Sasa yapita Wiki nikama ameniacha rasmi ,maana kunakijamaa anakipost status mara Kwa mara naona kishachukua nafasi yangu....



Yaani dah huyu Dem Yuko moyoni mwangu ...akili ime stuck namwaza yeye tu..nkipiga simu hapokei even txt hajibu..nko dilema
 
Wazee wa hit and run au find fvck and forget hizi mambo huwa hazitusumbui

Mapenzi hayana formula ukitaka ujue hilo walio kwenye ndoa wengi wameoa au wameolewa si na yule ambaye alikuwa chaguo lake namba moja

Kutendwa kwenye mahusiano ni jambo la kawaida. Furahia bora amekukataa mapema kabla ya kuingia kwenye ndoa kuliko ungefunga ndoa na mtu ambaye hakupendi
 
Mkuu sometime nashindwa kuwashauri vyema coz naona I put too much on your shoulder maana tunatofautiana falsafa za maisha. Mimi ni mfuasi wa wanafalsafa Zeno na Marcus aurelius katika falsafa yao ya Stoicism. Je uko tayari nikushauri kutokana na falsafa hii??
Wee nishahri tuu mwanawane...maana huyu mwanamke pamoja na kugegeda wanawake wengine bado yupo akili mwangu na nikionaga text yake tuu napagawa....nafanyaje ili nimpate jameni?
 
Heshima na upole wako
Ndivo vikanivuta kwako oh oh
Tabia na mwenendo wako oh
Vikanifanya nikupende eh eh

Kumbe mapenzi ni nyakati yanachanganya
Yakipoteza ramani wewe
Kitabu cha upendo wa dhati umechanachana
Haupo kama zamani wewe

Ngoma ikivuma mwisho wake hupasuka
Yote ya nini tuje kushikiana chupa
Wewe ukipanda kila muda mi nashuka

Kugombana mi siwezi
Nikwambie yote sababu ya mapenzi
Tena narudisha jezi nitulie
Ligi ya mapenzi siwezi

Kwako wewe, bora peke yangu
Nibaki peke yangu
Bora peke yangu
Niishi maisha yangu

Regards:
-Wajina😊
View attachment 2359893
Huu wimbo unaitwaje?
 
Watu hawa nao hua ni wafiasi wa ile theory inayosema kwamba Attaching to material is detachement to the materials hivyo basi wao hawajihangaishi kutafuta pesa wala kujilimbikizia mali maana wanasema pesa na mali nyingi haziwezi kukupa furaha wala kupendwa sana hakuwezi kukupa furaha nk nk
Attachment to the material is detachment from the spiritual.
"Wong"- Avengers: Infinity War

 
I didn't know that you're a Marvel fan.. Mate JJ
Oops - A little bit Mate but "Avengers: Infinity War" is the one of my all time favorite movie. Most of the time, I watching it, listening it and read word by word through English Subtitle.
IMG_20220917_214052_402.jpg
 
yna2,
I got one friend tunaefanana kila kitu, mawazo,vitu tunavyopenda,tumezaliwa siku ,tarehe na mwaka mmoja..tumesoma shule moja,Tumepata maksi za aina moja toka primary..Tumenusurika kufa pamoja kwa ajali.
Sikuwahi kujua rangi yake hali. Nimemjua sasa
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Tunapenda yule tunayempenda. Love a Greatest force of all. Love change everything 😔
FB_IMG_16665615452605697.jpg
 
Sir, on your opinion do you think we have to reconsider to love those Who give back our affection or. We have to force and insist them to love us back. Regarding we don't choose who love us back?
 
Yupo online lakini sio kwa ajili yako..Inauma ila ndio uhalisia
FB_IMG_16729548645019273.jpg
 
Back
Top Bottom