Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Move on achana na kushindana naye
 
mapenzi yanatesa sana jaman,napitia kipindi kigumu mno ila naimani yatapita tu,nitamsahau nahata akileta wanawake wengine sitaumia
Kuumia muhimu... mwez mmoja nilipoacha kumtafuta nilipata shida Sana maana nilimzoea binti wa watu..

ila now nipo fresh tuu maisha yanasonga

na wewe naiman utavuka tuu... kuwa na aman kubali matokeo move on
 
Ngoja nmsaidie davinc....unampenda bado huyo mwanamke mkuu don't lie...

just amua moja mpotezee au go for her try hard this time go an extra mile.
Kumpenda nampenda bado siwez kataa maan kuingia kwenye mahusiano Mengine nimeshashindwa

nimetry hard for the past 8 years.... Yan i know everything about her...

yeye anaamin i won't survive nitalud tuu..
 
Mkuu... i can't explain much... about her ila mwanaume yoyote atakayempata hawez kubali kumwachia kirahisi...

i will take your advice sitomtafuta tena nimekubali matokeo
 
Ndiyo kilichobaki... am trying so hard... japo nimekuwa mgumu ila one day yes... nitamove on tuu
Jichanganye na marafiki zake, kama ni mtu wa mazoezi na kampani fulani pendelea kuwa nazo. Ila isiwe ulevi au uvutaji sigara kupitiliza ukiwa na stress. Pia kama unapokaa kuna vitu vinakufanya umkumbuke basi viondoe, na ubaki huru kabisa. Mwisho kabisa usipende kukaa peke yako, itakufanya uwaze sana
 
Kuumia muhimu... mwez mmoja nilipoacha kumtafuta nilipata shida Sana maana nilimzoea binti wa watu..

ila now nipo fresh tuu maisha yanasonga

na wewe naiman utavuka tuu... kuwa na aman kubali matokeo move on
nimeshaanza kusahau japo kuna wakati nakumbuka
 
mapenzi yanatesa sana jaman,napitia kipindi kigumu mno ila naimani yatapita tu,nitamsahau nahata akileta wanawake wengine sitaumia
Mmmh inamaanisha mko pamoja lakini analeta wanawake wengine?
Mbona hili gumu?
Unaweza kunielewesha moneytalk
 
ipo siku litakukuta jambo then utaanza kuongea lugha moja na watu wasioweza kula siku tatu
 
ipo siku litakukuta jambo then utaanza kuongea lugha moja na watu wasioweza kula siku tatu
Never ever. Kwa caliber yangu haiwezekani laiti ungekua unanijua ungeona. I don't care...I don't care a thing. Furaha yangu haipo kwa watu.
Mimi ni katili wa kihisia, Ukinizingua nakuzingua. Sijali nakupenda wala nini.
Wanawake ni wengi zaidi yetu kwa sababu maalumu, so hata uweje nitampata mzuri zaidi yako. Siwezi teseka kisa mwanamke.

Btw kuna muda hata mimi najishangaa kwanini nipo hivi?? Na hii haipo kwa wanawake tu baki kila kitu. Yaani sitakagi kutishiwa kitu, I'm Stoic in nature
 
Mkuu... i can't explain much... about her ila mwanaume yoyote atakayempata hawez kubali kumwachia kirahisi...

i will take your advice sitomtafuta tena nimekubali matokeo
Wala sio kweli she's not that special, wapo wengi bora kuliko yeye. Kama upo Dar au Arusha nitakushangaa sana kama utakosa mwanamke mzuri kumshinda. Unless uwe mikoani huko ambapo Pisikali ni wa kutafuta.

Mpotezee. Hakujali wala hakupendi. Anakudanganya na kukuchezea hisia zako hovyo hovyo. Wewe ni mwanaume have a Worth. Mpotezee anakudharau jinsi unavyojipendeke
 
Attachments

  • FB_IMG_16216013778561617.jpg
    46.7 KB · Views: 17
Da 'Vinci your real something [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…