Uzi ulipopita kwenye recent nilikumbuka kuwa nilishawai toa ushuhuda wangu humu... nimetumia almost robo saa kutafuta comment yangu.....
Inshort
Da'Vinci Nilikupinga before ila now... nimeamin nothing is parmanent...
Mrejesho niliendelea na binti.. mpaka mwaka jana nikaona kama naforce mapenzi..
nikaamua kumkaushi toka mwezi wa 8 last year na hatujatafutana toka hapo... birthday zangu for the past 8 year alikuwa anajua yeye tuu sio mshabiki wa birthday ila yeye on my birthday alijitaidi iwe day special kwangu... nilivyomkaushia nikasemaa nitamprove wrong on my birthday this year kama atafanya as usual[emoji3]
here i am.. hakuna kilichotokea that day... nikaona kumbe i was right.. alikuwa ananiigizia.. but nimepanga birthday yake ikifika i will do the same kama ninavyo fanya miaka yote kumuonesha tu kuwa nilikuwa simuigizii
Selikavu
4/4/2023