Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

View attachment 2230850
Salute mates...

Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila muda unatamani uwe nae karibu au kuwasiliana na nae. Au kama ni rafiki yako wa kiume unakua kila ukitaka kufanya kitu Fulani unamstua mshikaji wako, yaani kama kuna ishu unatka kufanya mshikaji wako bila kuwepo unaona unaifanya kimagumashi. Kiuhalisia unakua upo mentally attached to that person, unakua umempa nafasi kubwa sana mpenzi wako au mtu huyo kwenye akili yako na maisha yako kwa ujumla.

Je huo upendo na nafasi kubwa uliyompatia kwenye maisha yako ushachunguza kama naye anakupatia nafasi hiyo? Jibu ni No! na kama ni Yes basi nafasi hiyo amekupa kwa muda, kuna muda utamtext atakujibu kwa wakati wake, utatamani kuongea nae ila yeye ataona unaboa tu, utataka uonane nae yeye atakuona msumbufu.
View attachment 2230864
Ikifika hatua unaona mtu yupo online unamtext pm ana like tu, unamtext wasap ana soma then anakaa kimya sana au unamtext kwa sms halafu yeye kaka kimya wakati unajua hiyo sio kawaida yake jua kwamba huna chako hapo, utakua unalazimisha mawasiliano, mapenzi au urafiki ambao mwenzako hautaki tena.
View attachment 2183761

Kwanini ulazimishe mawasiliano au mapenzi ? Kila kitu chatokea kwa sababu. Unajua unapompenda na kumjali mtu sana kiasi asicho stahili utaishia kupata maumivu usiyo stahili..

Subconscious mind hutenda kazi ikishirikiana sambamba na Nature, kuna hali Fulani unawez kua nayo katika maisha labda ni upweke,huzuni,kukosa faraja kiufupi unakua huna furaha au amani ya maisha. So kinachotokea ni kwamba
Subconcious mind inawasiliana na Nature kua mwanadamu huyu (yaani wewe) una matatizo Fulani maishani inaiamuru nature kutafuta mtu wa kuja maishani mwako ambae ataendana na hali ile uliyonayo.

Baada ya muda mfupi utajikuta umepata rafiki ukawa nae anakuliwaza kweli hadi ile hali ikawa imeisha..Mind ikishaona mentally ya huyu mtu iko stable inamuamuru nature kuruhusu yule mtu kuondoka au akaendelea kubaki. Hapo sasa ndio utaona umepata rafiki labda ni mwanamke au mwanaume akawa anakupa company sana kwa hali uliyonayo kwa muda Fulani (hata mwaka mzima. Unajikuta umekua attached sana na mtu huyo then inafika muda bila sababu yoyote ile ya msingi unaona mawasiliano na urafiki unapungua taratibu then unaisha kabisa. Hapo nature inakua ishafanya yake..
View attachment 2183762

Nachotaka kusema ni kwamba watu ambao mpo kwenye mahusiano jifunzeni kusoa alama za nyakati, so unaona hapa mapenzi au urafiki unaanza kuisha ila wewe ndio bado unazidi kuongeza kupiga simu na kumfuata ili aendelee kubaki…Kijana kila kitu kinakuja kwa muda na sababu Fulani, hutakiwi kutumia nguvu kubwa kumfanya mtu aendelee kubaki kwenye maisha yako. Mtu kama ni muhimu kwenye maisha yako atakuja mwenyewe na kukaa nawe daima, huna haja ya kulazimisha.

Kwanini ulazimishe mahusiano? Watu wote hawa waliojaa duniani au unadhani yeye ndio bora pekee kuliko wote, mwache aende labda alikua sio riziki ya maisha yako! Utapata mwingine. Kikubwa zaidi ambacho hutakiwi kukifanya maishani mwako ni kupuuzia ubaya wa mtu anaokufanyia kwakua unahitaji mtu huyo aendelee kubaki maishani mwako, train your mind to be stronger than your feelings.

Kingine maishani mwako usionyeshe wema au uzuri wako ili uwafanye wavutiwe nawe, waonyeshe ule upande wako ambao ni mbaya uone kama watakuvumilia au wataondoka. Wakiondoka usijali jua ni watu fake. Be real that’s beautiful enogh kijana.
Mwaka mpya,misimamo mipya..Uliumbwa mwenyewe! Huyo mpenzi au rafiki yako umpendae sana ambae unaona huwezi fanya kitu bila yeye ni wa kupita tu.

Hamishia nguvu zote kwa mama yako ndio the best one ambae hatakuja kukusaliti. Jiamini katika uwezowako, unaweza kufanya makubwa bila mpenzi wako huyo ambae unaona huwezi fanya kitu kikafanikiwa bila yeye.If you Doubt your power, you power your doubt.

Binafsi hua sijali wala kujutia chochote maishani mwangu, ukinipenda Ahsante na karibu, ukiondoka hamna shida pia.. you weren't meant to stay in my life, if you were! You will stay in my life forever
A guy has said, It’s up to you To choose me or to loose coz I’m not a second choice
With or Without you, I shine!
View attachment 2183759


Da'Vinci
-Excelsior
Huu ujumbe ni mzuri Sana yaani haya mambo hutokea maishani kupelekea baadhi ya watu kuyumba labdah kiuchumi,masomo n.k lakini ukishatambua KILA kitu huja kwasababu maalamu na hiyo ndiyo tafsiri halisi ya maisha
...Hakuna haja ya kulazimisha urafiki,undugu au ukaribu na mtu asiyeona umuhimu kwako tujifunze na kuyatilia maana I haya
NB; WHAT IS MEANT FOR YOU WILL ALWAYS FIND YOU AND BE CLOSER TO YOU
 
Ar u a Robot??
sijawahi sikia mtu hana hisia unless otherwise kuna kitu amefanyiwa ambacho kilimuumiza sana kihisia but anyway pole sana mwamba
Now na Mimi najiona ivyo kauwehu kapo kichwani
 
Alikuwa mtu ambaye hanishirikishi kama haitaji kitu au anahitaji na pia alikuwa anapenda wanawake ukimuacha anamadai mrudiane aendelee kula tunda nikaamua kuondoka w8thout any notification
Ulipo ondoka ulifika unapoenda au ulipata ajali njiani?
 
Ulipo ondoka ulifika unapoenda au ulipata ajali njiani?
Ajali zipo njiani tu kawaida ila nilipata kulogwa na marafiki kisa ni huyu mwindi nikawa choo ramani hazikusoma vizuri hadi naleo nilimpata muhindi baada ya huyo nilimpend akataka kunioa basi rafiki zangu wakaona wivu wakaenda kwa waganga wakafanya yao nikaachika tena shida zikaanzaa kila mchumba ninayempata ni ajali tu kufa hawafi
 
Ajali zipo njiani tu kawaida ila nilipata kulogwa na marafiki kisa ni huyu mwindi nikawa choo ramani hazikusoma vizuri hadi naleo nilimpata muhindi baada ya huyo nilimpend akataka kunioa basi rafiki zangu wakaona wivu wakaenda kwa waganga wakafanya yao nikaachika tena shida zikaanzaa kila mchumba ninayempata ni ajali tu kufa hawafi
Aiseee pole sana, kuna baadhi ya mambo hampaswi kushirikisha marafiki, sio kila rafiki uliyekonae anakutakia kherii
 
Kubwa sana
Hold up, they don't love you like I love you
Slow down, they don't love you like I love you
Back up, they don't love you like I love you
Step down, they don't love you like I love you

Can't you see there's no other woman above you?
What a wicked way to treat the man that loves you
Hold up, they don't love you like I love you
 
Hold up, they don't love you like I love you
Slow down, they don't love you like I love you
Back up, they don't love you like I love you
Step down, they don't love you like I love you

Can't you see there's no other woman above you?
What a wicked way to treat the man that loves you
Hold up, they don't love you like I love you
[emoji2958][emoji2958][emoji2958]
 
[emoji2958][emoji2958][emoji2958]
She's gone, oh I, oh I'd
Better learn how to face it
She's gone, oh I, oh I'd
Pay the devil to replace her
She's gone, what went wrong

Think I'll spend eternity in the city
Let the carbon and monoxide choke my thoughts away
And pretty bodies help dissolve the memories
But they can never be what she was to me

FB_IMG_16285005924279242.jpg
 
Back
Top Bottom