Miss Renee
Senior Member
- Jul 12, 2020
- 176
- 303
Unazingua [emoji3]Weee si tumeachana miaka ile tulivyomaliza chuo, sijui yule msela amekuwowa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unazingua [emoji3]Weee si tumeachana miaka ile tulivyomaliza chuo, sijui yule msela amekuwowa.
Anaweza akakuambia anakupenda na isiwe kweli, haya mambo magumu sanaNdio maana nishajisemea nitaoa she atakayeniambia ananipenda maana ni ngumu sana kupata penzi la kweli
Hili ni balaaDaah hakuna mepesi asee...
Sasa sijui itafanyeje na vile napenda nikimpenda mwanamke nimpende mmoja tuu
Inafika muda mtu unaamua tu kujipa kalikizo.Daah hakuna mepesi asee...
Sasa sijui itafanyeje na vile napenda nikimpenda mwanamke nimpende mmoja tuu
Kumpata mtu wa kuendana nae yaani umpende nae akupende kweli si rahisi rahisi.Kwanini.?
NiliwahiHujawahi kumpata.?
UsalitiKisa cha kutengana.?
4yrsMlidumu muda gani.?
Bado upo Ilala ?Unazingua [emoji3]
Ata sijawah kaa hukoBado upo Ilala ?
Kwann ulinisaliti wakati unajua nilikuwa nakupenda ?Usaliti
Ilala manispaa sio ilala boma ?Ata sijawah kaa huko
We jamaa bwanaKwann ulinisaliti wakati unajua nilikuwa nakupenda ?
Kote sijakaa kabisaIlala manispaa sio ilala boma ?
Mimi ndio nilisalitiwaKwann ulinisaliti wakati unajua nilikuwa nakupenda ?