Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Haya maneno hayafanyi kazi kwa mtu anayempenda mtu kweli.
Wanasema "if you love something, fight for it".
Yaani ukae uache kupambana ukidhani kwamba atakuja mwenyewe?.
Bro it is, if you love something,, sio if you love someone
 
siangaiki na mapenzi if it is meant to be it will be... kuna vitu viko more important than love ...POWER
Kwanini umesema hivi mkuu. I'm curious. Nahisi kuna kitu kimetrigger wewe kuongea hivi! Can you share it to me what happened
 
Kwanini umesema hivi mkuu. I'm curious. Nahisi kuna kitu kimetrigger wewe kuongea hivi! Can you share with me what happened

Mapenzi ni illusion, unafikiri kuwa unampenda mtu na unajua kabisa unampenda lakini mbona mnaweza achana, ila mkiwa karibu zile sparks zinarudi tena kama ni real why hakuna consistency.

Unajua nini ambayo ni real “Power”... you can change people's lives, bend reality to your will, etc ukijua umuhimu wake Life becomes a theme park
 
Basi nadhani maisha kwangu nayachukulia kwa angle tofauti..
I'm a loser, Don't fit anywhere.
Ukisema No kwangu basi Ndio mwisho wa kufuatilia kitu hiko..
Kinachotugharimu na kutuumiza ni Yale mazoea tunayokua nayo Kwa watu, I mean those best memories from them! Haki attachments za feelings zinaumiza sana. Anyways Mungu atusaidie aisee heart breaks hazizoeleki kabisa
 
Utazoea tu Wala ucjali .
Ko awards still alive
 
Sometimes in life you need just that one special person to tell you everything will be fine! Sio lazima awe mpenzi, Loneliness sometimes leads to mental illness bro.
For myself I don't need anyone. I'm fine on my own. Sitaki kuwa attached kwa yoyote sitaki kumpenda au kua na urafiki na watu. I win my battle alone. Kwanza sipendi kubembelezwa au kudekezwa.

Nikijihisi upweke natafuta series moja nazama huko nasahua ya duniani life goes on
 
Mapenzi ni illusion, unafikiri kuwa unampenda mtu na unajua kabisa unampenda lakini mbona mnaweza achana, ila mkiwa karibu zile sparks zinarudi tena kama ni real why hakuna consistency.

Unajua nini ambayo ni real “Power”... you can change people's lives, bend reality to your will, etc ukijua umuhimu wake Life becomes a theme park
Kwanza nikucheke maana nilikua nasema hivo kipindi cha nyuma ukawa unasema this and that. Shida yenu kubwa hua mnaweka matarajio makubwa kwa watu pia mnatafuta perfection yenu kupitia kwa watu wanaowazunguka. Mwisho wa siku wanawaumiza...Coz everybody anayekuambia anakupenda basi anakudanganya!!! Anataka kitu tu toka kwako unless awe blood relative.

Don't you ever be attached to anyone, I'm free. Sitaki kupendwa wala kuhitajika na watu I enjoy my loneliness.
 
Hahah au sio

😢😢
FB_IMG_16766471500451714.jpg
 
Mapenzi ni illusion, unafikiri kuwa unampenda mtu na unajua kabisa unampenda lakini mbona mnaweza achana, ila mkiwa karibu zile sparks zinarudi tena kama ni real why hakuna consistency.

Unajua nini ambayo ni real “Power”... you can change people's lives, bend reality to your will, etc ukijua umuhimu wake Life becomes a theme park
Big mind and realistic
 
Back
Top Bottom