Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

8years bado umeshindwa kumsahau,najua kupenda lakini siwezi kumove muda wote huo,upendo wako kwake kwakwel ni too much yaani nimeshindwa hata chakukuambia ila umenishangaza
Nadhan umenielewa vibaya mkuu pitia post zangu za mwanzo hapa chini
Wewe tangu 2018 me tangu 2016 mpaka leo nimepambana tu na nimekuja kuona mafanikio
Inshort nilikuwa kama mstari wa roma Nataman Ngono ila sina hisia za mapenzi maisha yangu yalikuwa hivyo ila Nilikutana na JW nikasoma vitabu vyao Nikamua kubadilika mtazamo wangu nitafute wa kumpenda
kuna dada alikuwa rafiki angu sio sanaa kutokana alikuwa ni mkimya hapendi kuongea nikaanza kujikeep busy na yeye 2016 Nikarusha ndoano ikachomolewa nikasema sikati tamaa nimeenda nae as friends hivyo hivyo mpaka nimekuwa mtu muhimu sanaa kwake Kwenye kumbukumbu yake ya kuzaliwa mwaka huu amefunguka hisia zake kwangu Mambo yamejipa soon naweza agana na ubachelor...
Mwaka huu ndo nimekuja kutoa mrejesho ila simply ilianza hivyo
Uzi ulipopita kwenye recent nilikumbuka kuwa nilishawai toa ushuhuda wangu humu... nimetumia almost robo saa kutafuta comment yangu.....

Inshort Da'Vinci Nilikupinga before ila now... nimeamin nothing is parmanent...

Mrejesho niliendelea na binti.. mpaka mwaka jana nikaona kama naforce mapenzi..

nikaamua kumkaushi toka mwezi wa 8 last year na hatujatafutana toka hapo... birthday zangu for the past 8 year alikuwa anajua yeye tuu sio mshabiki wa birthday ila yeye on my birthday alijitaidi iwe day special kwangu... nilivyomkaushia nikasemaa nitamprove wrong on my birthday this year kama atafanya as usual😀

here i am.. hakuna kilichotokea that day... nikaona kumbe i was right.. alikuwa ananiigizia.. but nimepanga birthday yake ikifika i will do the same kama ninavyo fanya miaka yote kumuonesha tu kuwa nilikuwa simuigizii

Selikavu
4/4/2023
Nadhan nimeeleweka hapo
 
Not really but always never let your guard down....you will be surprised

Most people tend to ignore the red lights from their partners hoping for the better but at the end it backfires.

Ntakupa mfano hai umenitokea juzi tu hapo....kuna manzi nilimwambia tuwe wapenzi akakubali tukawa tunawasiliana kwenye simu vizuri kabisa kwa week ile ya kwanza na tukapanga first date wiki inayofuata na tulipanga tuonane on friday

Cha ajabu sasa one day before meeting ambayo ni Thursday manzi harespond texts na naona she's updating her Whatsapp status

Anakuja kujibu text on Friday jioni kabisa na ndo siku ambayo tulipanga tuonane for the first time tena alivyo respond I thought atakuja na excuse ya kuchelewa na kushindwa kuonana hiyo siku lakini cha ajabu ana act as if hamna tulichopanga kwa siku ile yani kajitoa betri na mimi nikajizima data as if hamna kilichotokea and I didn't bother communicating with her anymore na relationship ikafa siku hiyo hiyo

Nikaona upuuzi Yani first date tu mtu analeta mapicha picha unadhani kutakua na relationship ya maana hapo

Na wengi wenu mnafeli kwenye scenarios kama hizi unaona kabisa unalazimisha mapenzi lakini unajipa moyo kumbe ungeweza ku asses situation mapema ukaendelea na mambo yako mengine

So always don't ignore the red lights..stay taliban

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
[emoji3]kama ulivaa manzi niliyewahi kumfuata yajanikuta hayo, wanafanana yaani
 
Mkuu sijakataa hata post zangu za juu... nimekubali kwamba nilikuwa attached kwake.. ila nimeamua kumove on... mkoa nishamkimbia last time nimeonana nae Arusha Now nipo Dodoma yeye still yupo huko

Moja ya trick zangu back in the day huwa najiondoa maeneo ambayo muhusika ni rahisi sana kukutana nae, naepuka kuonana na ndugu zake, even social media nasepa. Hii trick after 3 month to 6 month unajikuta mpya.

I know you will get there, ukishavuka you will feel it. New you will be borned. Ila dont rush kuingia kwenye relation nyingine. Heal kwanza
 
Not really but always never let your guard down....you will be surprised

Most people tend to ignore the red lights from their partners hoping for the better but at the end it backfires.

Ntakupa mfano hai umenitokea juzi tu hapo....kuna manzi nilimwambia tuwe wapenzi akakubali tukawa tunawasiliana kwenye simu vizuri kabisa kwa week ile ya kwanza na tukapanga first date wiki inayofuata na tulipanga tuonane on friday

Cha ajabu sasa one day before meeting ambayo ni Thursday manzi harespond texts na naona she's updating her Whatsapp status

Anakuja kujibu text on Friday jioni kabisa na ndo siku ambayo tulipanga tuonane for the first time tena alivyo respond I thought atakuja na excuse ya kuchelewa na kushindwa kuonana hiyo siku lakini cha ajabu ana act as if hamna tulichopanga kwa siku ile yani kajitoa betri na mimi nikajizima data as if hamna kilichotokea and I didn't bother communicating with her anymore na relationship ikafa siku hiyo hiyo

Nikaona upuuzi Yani first date tu mtu analeta mapicha picha unadhani kutakua na relationship ya maana hapo

Na wengi wenu mnafeli kwenye scenarios kama hizi unaona kabisa unalazimisha mapenzi lakini unajipa moyo kumbe ungeweza ku asses situation mapema ukaendelea na mambo yako mengine

So always don't ignore the red lights..stay taliban

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Are you looking for a wife?
 
Hawajui wangejua wangetuwasha makofi na upumbavu wetu.[emoji55][emoji55]
No there's a problem somewhere in our modern societies wala sio upumbavu,
But if they (the Love interest) don't serve you and your purpose just stay single.
Do you know your purpose?
 
Safi sana mkuu

Manzi akijikuta keki una evacuate tu

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Nishawahi kuendeshwa mara moja ila nikiwa sijavuka 25 nadhani sitokuja kuendeshwa tena namna ile abadani, hata ikitokea akaniambia muda huu na Penzi limekolea kuwa tuachane. Namjibu poa na ndiyo Ntolee hiyo, asirudi. Nishakuwa na kama wazimu fulani, muda wowote nambadilikia manzi akiniletea ujinga
 
Ndo inavyotakiwa....Always stay Taliban

Sikiliza ngoma ya blaqbonez inaitwa breaking the yoke of love
 
No there's a problem somewhere in our modern societies wala sio upumbavu,
But if they (the Love interest) don't serve you and your purpose just stay single.
Do you know your purpose?
Muandiko kama wa fulani ngoja niingie chimbo
 
Back
Top Bottom